Tukibadili mtizamo pale Kivukoni Kigamboni tutaondoa kero ya kudumu na kuzalisha Masaki mpya kama hivi

Tukibadili mtizamo pale Kivukoni Kigamboni tutaondoa kero ya kudumu na kuzalisha Masaki mpya kama hivi

Tutumie 200+b kujenga baharini,sehemu ambayo Pana vivuko na daraja,badala ya kujenga miundo mbinu ya imwagiliaji au lami au hospitali kubwa!..mnadhani Tanzania ni dar tu!?
Akili yao wanaijua wenyewe, akili kisoda.
 
Uchambuzi mzuri sana umeufanya! Nafatilia huu uzi, changamoto ninayoiona hapa watu tunapenda udaku kuliko mambo mhimu kama haya
 
Unatumia million 50 kuadhimisha kusaini mikataba ya ukarabati kweli?
 
Gharama ya kuweka daraja la chini la kudumu around bil 300 inakuwaje unakarabati kivuko chakavu kwa 7.8 billion ambayo ni kama 8 billion
Kweli
 
Ujumbe wataupata Tatizo ni Vipaumbele vya wenye kutoa Maamuzi.
Umeona Leo wanazindua ukarabati wa bilion 8 na lile jingine walitumia 7bilion jumla 15 zimepigwa
 
Back
Top Bottom