sengobad JF-Expert Member Joined Aug 13, 2017 Posts 9,008 Reaction score 8,788 Jun 7, 2022 #41 inamankusweke said: Tutumie 200+b kujenga baharini,sehemu ambayo Pana vivuko na daraja,badala ya kujenga miundo mbinu ya imwagiliaji au lami au hospitali kubwa!..mnadhani Tanzania ni dar tu!? Click to expand... Akili yao wanaijua wenyewe, akili kisoda.
inamankusweke said: Tutumie 200+b kujenga baharini,sehemu ambayo Pana vivuko na daraja,badala ya kujenga miundo mbinu ya imwagiliaji au lami au hospitali kubwa!..mnadhani Tanzania ni dar tu!? Click to expand... Akili yao wanaijua wenyewe, akili kisoda.
D dmkali JF-Expert Member Joined Nov 17, 2014 Posts 11,793 Reaction score 22,552 Jun 7, 2022 Thread starter #42 sengobad said: Akili yao wanaijua wenyewe, akili kisoda. Click to expand... Hahaaah akili za akilimali
sengobad said: Akili yao wanaijua wenyewe, akili kisoda. Click to expand... Hahaaah akili za akilimali
M Msemajiwao JF-Expert Member Joined Sep 12, 2016 Posts 679 Reaction score 1,692 Jun 7, 2022 #43 Uchambuzi mzuri sana umeufanya! Nafatilia huu uzi, changamoto ninayoiona hapa watu tunapenda udaku kuliko mambo mhimu kama haya
Uchambuzi mzuri sana umeufanya! Nafatilia huu uzi, changamoto ninayoiona hapa watu tunapenda udaku kuliko mambo mhimu kama haya
D dmkali JF-Expert Member Joined Nov 17, 2014 Posts 11,793 Reaction score 22,552 Jun 7, 2022 Thread starter #44 mswangilishi said: Uchambuzi mzuri sana umeufanya! Nafatilia huu uzi, changamoto ninayoiona hapa watu tunapenda udaku kuliko mambo mhimu kama haya Click to expand... Tusaidiane kutoa mawazo
mswangilishi said: Uchambuzi mzuri sana umeufanya! Nafatilia huu uzi, changamoto ninayoiona hapa watu tunapenda udaku kuliko mambo mhimu kama haya Click to expand... Tusaidiane kutoa mawazo
D dmkali JF-Expert Member Joined Nov 17, 2014 Posts 11,793 Reaction score 22,552 Feb 16, 2023 Thread starter #45 Unatumia million 50 kuadhimisha kusaini mikataba ya ukarabati kweli?
D dmkali JF-Expert Member Joined Nov 17, 2014 Posts 11,793 Reaction score 22,552 Feb 16, 2023 Thread starter #46 Gharama ya kuweka daraja la chini la kudumu around bil 300 inakuwaje unakarabati kivuko chakavu kwa 7.8 billion ambayo ni kama 8 billion Kweli
Gharama ya kuweka daraja la chini la kudumu around bil 300 inakuwaje unakarabati kivuko chakavu kwa 7.8 billion ambayo ni kama 8 billion Kweli
D dmkali JF-Expert Member Joined Nov 17, 2014 Posts 11,793 Reaction score 22,552 Feb 16, 2023 Thread starter #47 Others said: Ujumbe wataupata Tatizo ni Vipaumbele vya wenye kutoa Maamuzi. Click to expand... Umeona Leo wanazindua ukarabati wa bilion 8 na lile jingine walitumia 7bilion jumla 15 zimepigwa
Others said: Ujumbe wataupata Tatizo ni Vipaumbele vya wenye kutoa Maamuzi. Click to expand... Umeona Leo wanazindua ukarabati wa bilion 8 na lile jingine walitumia 7bilion jumla 15 zimepigwa