Njilembera
JF-Expert Member
- May 10, 2008
- 1,496
- 609
Paskali, the graphologist- umechokoza, hebu angalia hawa nyuki walivyo wakali na wengi kila upande! But ninakubaliana na wewe kwenye hoja ya msingi- SIO UTU KUMTAKIA MWENZIO TAABU NA HATA KIFO!Umesahau Wabunge waliosema kuwa Zitto auwawe? Nambie ni CCm gani alitoka akapinga? Video zipo na ushahidi upon, mbona hukukemea??
Kama jambo ni ovu huwa nalikemea...lini,sikumbuki tareheNiambie ni lini uliwahi kukemea wanaofurahia watanzania wenzao kupigwa risasi na kufa, kupotezwa wasionekane milele, kufungwa kwa sababu za kisiasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kula like za kutoshaHao hawana tofauti na waliogiza Lissu apiwe risasi na bado wakaona haitoshi wakamvua na ubunge.
Bwashee? Ndo Ujinga gani?
CCM siyo Tatizo hapo. Yaani wewe mtu mzima ukiona mpaka CCM "Inakufundisha" kuombea wenzako mabaya na wewe ukafundishika ujue wewe Aidha ni kichaa au au ni mwanafunzi wa ujinga.
Acha tu tufanae akili no way. Karma is a bitch.Watu hao wamejiundia network yao wote wanafanana akili!
Malipo ni hapa hapa duniani uwe fukara, tajiri, kiongozi au kasukuWakati magufuli anakataza wabunge kwenda Nairobi kumuona Lissu ulitia neno? Au ile haikuwa chuki?
Endeleeni kujifukiza... mkifa tutafanya sherehe.Discipline ambazo Unahisi wewe mwenyewe ndo unazifahamu. Wengine wote kuanzia mahakama, Jeshi n.k hawazijui ila wewe peke yako mtumiaji wa JF ndo unazijua?
Sasa kama hazifuati hizo discipline si mkashtaki? Hizo discipline zinapatkana ibara ya ngapi?
Yaani mtu wa upinzani akipata tutamuhurumia na tutamuombea kwa mungu. Ila nyie nzi wa kijani mkipata basi r.i.p.[emoji23][emoji23] Unaamini kwenye Karma? Sasa kama ndo hivo mbona ccm ingekuwa ishatoka madarakani mda mrefu Sana kama ndo hivo. Yaani Hii nchi ingekuwa inaendeshwa na Chama kingine kabisa.
Mkuu mwanaccm akipata Corona hata wewe wa upinzani hauko Salama. Kwani hao mboga mboga wanasehemu Yao kwamba wamejitenga hivyo wataambukizana wenyewe tu.
Corona Haichagui Chama. Anapata Yoyote. Sasa kama mtu yeyote ni Vulnerable I don't understand Kwanini unashabikia ccm apate alafu Wewe unajiona uko Salama.
Huwa naomba sana upate corona. Wala siwezi kuwa mnafiki katika hili.Mbona unawaogopa kuwataja Chadema kuwa Ndio wapo mstari wa mbele kuombea Tanzania mabaya?
Itakuwa ni maajabu Rais Magufuli akiwasiliza Chadema, nakuomba Rais Magufuli kaa mbali na Chadema
Hahhaahaha shikamoo Musiba khaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]!
Hamna kitu kama icho mkuu, maoni ya siri huku jf ofcoz atashindwa, but on the ground vitu ni different sana. Trust mePitisha kura ya maoni ya siri ujionee mwenyewe
Amen rahNgoja niandike kwa msisitizo.
NA MIMI NASEMA HIVI KAMA KUNA MTU ALIHUSIKA KATIKA JARIBIO LA MAUAJI YA LISSU, ALIFURAHIA LISSU KUPIGWA RISASI NA MENGINE MENGI YANAYOFANANA NA HAYO BASI AKIPATA CORONA R.I.P KWAKE. AND I WILL BE HAPPY HIYO CORONA IKIONDOKA NA YEYE.
NA WOTE TUSEME AMENI.
Huwa naomba sana upate corona. Wala siwezi kuwa mnafiki katika hili.
You are not trustworthyHamna kitu kama icho mkuu, maoni ya siri huku jf ofcoz atashindwa, but on the ground vitu ni different sana. Trust me
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila siku nacomment humu misukule ina furahia watu kufa Tena inaomba mungu kabisa watu wafe walivyo na roho za kichawi wanalalamika watu wanaokufa ni kidogo itajwe idadi ya kubwa mmeamini Sasa kuwa ni wachawi wakubwa Hawa na nasema Tena chadema ni janga zaidi ya Corona hiki ni kizazi Cha nyoka
Ndio fungu lako go demet!Kwanini unaniombea mabaya?
Hao ndio wabayaAcha hao wanaoombea, hao ni cha mtoto, hao inaonyesha ni wanyonge na hawana cha kufanya hivyo wamebaki wakitegemea maombi tu. Kuna wanao kaa vikao kujadili nani apelekwe gerezani? lini? kwa kesi gani? kisha unapewa kesi. Mbaya zaidi hujadili nani afe? na afe lini? na namna gani? halafu wanakwenda kuua wenyewe.