Tukidhani ni Binadamu wenzetu, kumbe ni mashetani! Mtu unaombeaje mwenzako afe kwa Corona? Can't believe this wickedness! Huu sio utu, ni ushetani!

Tukidhani ni Binadamu wenzetu, kumbe ni mashetani! Mtu unaombeaje mwenzako afe kwa Corona? Can't believe this wickedness! Huu sio utu, ni ushetani!

Umesahau Wabunge waliosema kuwa Zitto auwawe? Nambie ni CCm gani alitoka akapinga? Video zipo na ushahidi upon, mbona hukukemea??
Paskali, the graphologist- umechokoza, hebu angalia hawa nyuki walivyo wakali na wengi kila upande! But ninakubaliana na wewe kwenye hoja ya msingi- SIO UTU KUMTAKIA MWENZIO TAABU NA HATA KIFO!

Lakini tunachoona ni wenye mamlaka kuwasuta wasio na uwezo wa kuwakabili- na inabaki DUA LA KUKU HALIMZUII MWEWE, basi ku-steam out ni kauli za reja reja na ambazo sasa zinaudhi. Graphologist hukuona pande zote, uliangalia upande mmoja sasa ona mashambulizi !Uweeeee
 
Discipline ambazo Unahisi wewe mwenyewe ndo unazifahamu. Wengine wote kuanzia mahakama, Jeshi n.k hawazijui ila wewe peke yako mtumiaji wa JF ndo unazijua?

Sasa kama hazifuati hizo discipline si mkashtaki? Hizo discipline zinapatkana ibara ya ngapi?
Endeleeni kujifukiza... mkifa tutafanya sherehe.
 
Mkuu Pasco hivi uliwashangaa Pia na kuwaandikia bandiko wale wabunge waliosema zitto inatakiwa auawe na marehemu lwakatare akapiga makofi. Au mshangao wako huwa ni one direction


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
[emoji23][emoji23] Unaamini kwenye Karma? Sasa kama ndo hivo mbona ccm ingekuwa ishatoka madarakani mda mrefu Sana kama ndo hivo. Yaani Hii nchi ingekuwa inaendeshwa na Chama kingine kabisa.

Mkuu mwanaccm akipata Corona hata wewe wa upinzani hauko Salama. Kwani hao mboga mboga wanasehemu Yao kwamba wamejitenga hivyo wataambukizana wenyewe tu.

Corona Haichagui Chama. Anapata Yoyote. Sasa kama mtu yeyote ni Vulnerable I don't understand Kwanini unashabikia ccm apate alafu Wewe unajiona uko Salama.
Yaani mtu wa upinzani akipata tutamuhurumia na tutamuombea kwa mungu. Ila nyie nzi wa kijani mkipata basi r.i.p.
 
Mbona unawaogopa kuwataja Chadema kuwa Ndio wapo mstari wa mbele kuombea Tanzania mabaya?


Itakuwa ni maajabu Rais Magufuli akiwasiliza Chadema, nakuomba Rais Magufuli kaa mbali na Chadema
Huwa naomba sana upate corona. Wala siwezi kuwa mnafiki katika hili.
 
Ngoja niandike kwa msisitizo.

NA MIMI NASEMA HIVI KAMA KUNA MTU ALIHUSIKA KATIKA JARIBIO LA MAUAJI YA LISSU, ALIFURAHIA LISSU KUPIGWA RISASI NA MENGINE MENGI YANAYOFANANA NA HAYO BASI AKIPATA CORONA R.I.P KWAKE. AND I WILL BE HAPPY HIYO CORONA IKIONDOKA NA YEYE.

NA WOTE TUSEME AMENI.
Amen rah
 
Watu kama wewe huwa naomba kila siku mpate corona. Maana akili ndo zitakuja.

Hivi wakati meko anazuia watu kwenda kumuona lissu ile haikuwa roho mbaya?

Wakati watu wanazuiwa kumuombea lissu haikuwa roho mbaya?

Hivi kwanini watu kama hao nisiwaombee wapatwe na corona na walerish hukoooo...
Kila siku nacomment humu misukule ina furahia watu kufa Tena inaomba mungu kabisa watu wafe walivyo na roho za kichawi wanalalamika watu wanaokufa ni kidogo itajwe idadi ya kubwa mmeamini Sasa kuwa ni wachawi wakubwa Hawa na nasema Tena chadema ni janga zaidi ya Corona hiki ni kizazi Cha nyoka
 
Acha hao wanaoombea, hao ni cha mtoto, hao inaonyesha ni wanyonge na hawana cha kufanya hivyo wamebaki wakitegemea maombi tu. Kuna wanao kaa vikao kujadili nani apelekwe gerezani? lini? kwa kesi gani? kisha unapewa kesi. Mbaya zaidi hujadili nani afe? na afe lini? na namna gani? halafu wanakwenda kuua wenyewe.
Hao ndio wabaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom