Njilembera
JF-Expert Member
- May 10, 2008
- 1,496
- 609
Paskali, the graphologist- umechokoza, hebu angalia hawa nyuki walivyo wakali na wengi kila upande! But ninakubaliana na wewe kwenye hoja ya msingi- SIO UTU KUMTAKIA MWENZIO TAABU NA HATA KIFO!Umesahau Wabunge waliosema kuwa Zitto auwawe? Nambie ni CCm gani alitoka akapinga? Video zipo na ushahidi upon, mbona hukukemea??
Lakini tunachoona ni wenye mamlaka kuwasuta wasio na uwezo wa kuwakabili- na inabaki DUA LA KUKU HALIMZUII MWEWE, basi ku-steam out ni kauli za reja reja na ambazo sasa zinaudhi. Graphologist hukuona pande zote, uliangalia upande mmoja sasa ona mashambulizi !Uweeeee