Tukielekea kufunga mwaka taja Members wako bora watano kwa mwaka huu 2025-Top 5

Members wote wa JF ni bora kwangu coz kila mmoja ana umuhimu wake,asipokua na umuhimu kwangu basi atakua na umuhimu kwa mtu mwingine,so at the end anabakia kua ni member wa JF mwenye umuhimu wake,

Waanzisha nyuzi,wasoma nyuzi,wachangiaji,wanao like,wanao dislike na mengineyo,wote wana umuhimu wao coz hiyo ndio free of speech na pia ndio ni free of expression ya feeling zao.

BIG UP TO ALL JF MEMBERS.
 
huyu makutopora alikuwa hana kazi akaomba usaidizi jf,alikuwa amezidiwa kwa shida,wadau wema wakampa kazi,akatoa mrejesho na baada ya mrejesho huo kimya mpaka sasa, anakuwaje huyu member bora? Kama labda unajipigia promo.
Kichwa cha uzi kinasemaje? Sasa kuna uhusiano gani kati yakumkubali mtu na yeye kuomba kazi na kushindwa kuleta mrejesho? Au unahitaji nitaje watu ambao wapo kwenye list ako mkuu ?
 
Umetisha bro, nimeshangaa maana I have done no wonders😀😀😀
But thanks for being part of your happiness, kudos Sana Tuko pamoja, tuendelee kuombeana kheri hasa unapokaribia kumaliza huu mwaka inshallah
 
Thanks Mallerina

Kwangu mimi members wa kike mnaofanya poa ni hawa
1. Mallerina huna baya na mtu wewe🔥
2. Binti wa zamani huyu kascore 105% kwenye mada za vitumbua
3. Mawardat warda huyu yeye ni mpole sana jukwaani napenda vibes zake
4. kadogo2 huyu simuongelei sana mabandiko yake hapa jf yanajulikana🤣🤣(utanii)
5. Seran

Kwa upande wa members wa kiume waliofanya poa zaidi
1. Mshana Jr
2. Natafuta Ajira
3. Zemanda
4. Yoda
5. secretarybird
6. Rayns
7. Mwachiluwi the chef
8. britanicca
9. Harmful


Kwa upande wa members wa hovyo jf
1. Hance Mtanashati
2. GENTAMYCINE
3. Ertugrul Bey
4. Lucas Mwashambwa
5. Sitakuumiza Kamwe
6. Mjusi Sharobalo

Ahsanteni kwa kunisikiliza
 
Dah unamsahau kabisa Harmful
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…