Tukiendekeza siasa na udini katika mashindano ya African Football League, hayatadumu

Motsepe ni tajiri ,msomi na mkristo jamaa yupo buza eti anamfundisha motsepe kuhusu mpira kisa tu kaona udhamini wa muarabu watanzani tuna tatizo la akili, kila kitu mtu anaingiza dini, kumchukia muarabu ni kupoteza muda wako tu wenzako wapo mbali sana , kama wameweza kununua hadi hizo timu kubwa za ulaya na zinatangaza utamaduni wao wewe utazuia nini kama sio kutafuta kufa mapema kwa chuki
 
Baba wa taifa hakuitambua israel,cairo hawaitambui israel,hatujui mini kitakupata ukipeperusha bendera ya israel cairo,sisi so wapiga ramli
Nisingependa huu mjadala ugeuke kuwa wa kidini maana naona wote mnauelekeza huko wakati mimi ningependa tuuangalia kwa maslahi ya mpira, AFL na Africa kwa ujumla. Nikikujibu kuhusu hayo ya Baba wa Taifa na Misri kuitambua au kutoitambua Israel nitakuwa nachochea mada iende ambapo sipo, tubaki katika ishu ya mpira na AFL.

Hivi mchezaji wa Al Ahly anaweza kuwa na mtazamo tofauti na wenzake kuhusu Palestina halafu wakamuacha auonyeshe wazi?
 
Ujinga mtupu.
kila sehem udini udini.
Sasa timu kwenda Makhah kunahusiana vipi na udini?
Tusitafutiane ban hapa.
 
Umemaliza kila kitu.
 
Hilo waulize wachezaji wa al ahly
 
Mkuu Misri wamepigana na Israel, of course kwao haitakua sawa, reverse hio situation kwetu.

1979 Mchezaji wa Uganda aje kucheza Tanzania halafu awe pro Iddi Amin angeachwa salama?

Halafu hapo hapo Mchezaji wa Uganda aende Misri na Wa Tanzania Aende Misri kila mmoja apeperushe bendera yake so ingekua kawaida tu?

Haya mambo yanahitaji tu Busara na kujielewa.
 
Unaongelea ishu ya zaidi ya miaka 50 iliyopita
 
Wewe unamuogopa mtu kisa tajiri, msomi na mkristo? Yule ni binadamu kama wewe tu.
 
Wewe unamuogopa mtu kisa tajiri, msomi na mkristo? Yule ni binadamu kama wewe tu.
 
Acha kuzunguka sana, we sema tu umeumia chiba chama kunyimwa juice na waarab basi.
Chama aliwafanyia mbinu za kivita. Alitaka dunia nzima ione wanatumia madawa ya kuongeza nguvu. Pale ukiwapima timu zima imejaa masteroid na takataka zingine kuboost energy.
 
Hatumuogoi ila ana maono mazuri kuliko huyu anayekuja kukosoa kisa tu kaona kuna mdhamini muarabu
Sasa kisa cha kutaja kuwa ni tajiri, msomi na mkristo ni nini na hizo sifa anazo yeye pekee? Na mada inahusu tahadhari kutokana na tabia zilizoonyeshwa uwanjani na kuonekana kubarikiwa na waandaaji wa mashindano n kwamba zinaweza kuleta migawanyiko na mikanganyiko na nikaenda mbali zaidi kukumbushia tabia nyingine ambazo zilikuwa zinayapa doa mashindano ya CAF. Nyie mmerukia tu kwa jazba kisa nimeitaja Saudi Arabia.

Nakushauri fuatilia post zangu za nyuma uone kama niliwahi kuyakosoa mashindano haya.
 
Ww ni mpumbavu hayo maswali mbona hujawahi kuyauliza wakati Urusi inaondolewa kwenye kombe la dunia kwa sababu za kisiasa? Hata juzi kazuiwa kushiriki mashindano ya Olimpic kwa sababu hizo hizo.
Alafu hakuna sehemu ambayo CAF iliyo zuia mtu yeyote kuingia na bendera ya Israel uwanjani kuisaport ww kama unajisikia kufanya hivyo hakuna aliye kuzuia.
Mpila ni jukwaa la kuonesha hisia,kuwadilisha kelo zako kwa njia ya amani hivyo punguza uzezeta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…