Si hutaki siasa na michezo?Au FIFA na UEFA wanawajibika kwa Nchi fulani tu?Hii kuhusu Urusi ni valid example ya unafiki wa nyinyi mnaochagua wapi pa kusemea na wapi pa kukaa kimya.Call a spade by its name not a big spoon.Kuna ambao mnaileta Russia kwenye mada hii wakati ishu hazifananii kabisa, sielewi mnaitaja kwa angle ipi
Bado sielewi uhusiano wa hiki kilichopo kwenye mada hii na issue mnayoileta ya Russia. Kwa nini mnaitaja sana Russia ila mnaacha mifano ya Yugoslavia na Apartheid South Africa?Si hutaki siasa na michezo?Au FIFA na UEFA wanawajibika kwa Nchi fulani tu?Hii kuhusu Urusi ni valid example ya unafiki wa nyinyi mnaochagua wapi pa kusemea na wapi pa kukaa kimya.Call a spade by its name not a big spoon.
Umeingalia ligi za ulaya wiki hii.Je Mtanzania mmoja au raia wa nchi nyingine yoyote akisema aingie na bendera ya kuisapoti Israel pale Cairo katika gemu ya kesho ya Al Ahly vs Simba ataachwa kwa uhuru atoe maoni yake? Mnashindwa nini kuelewa mantiki ya mambo haya? Naona kama haya mashindano yatakuwa na mwisho mbaya maana tumeyaanza vibaya sana, samahanini kama nitakuwa nimewakwaza. Ona kilichotokea kule DRC issue ya TP Mazembe, siasa imeingizwa mwisho wa siku timu inalazimika kuhamisha makazi na kuua mantiki yote ya kuwa na mashindano mapya yenye hamasa za mashabiki.
Tulijadili bila kuweka hisia. Najua Palestina wana kilio chao na naheshimu mapambano yao.
Mbona wakati Ukraine inaungwa mkono hamkuleta hizi Nyuzi??Uungwana na logic ipi sasa? Haya mambo ya kisiasa ni "subjective" ndiyo maana FIFA huwa wanajaribu kusisitiza yasiingizwe katika mpira. Unadhani katika macho ya Waisrael, taifa lao haliko sahihi? Kama wachezaji wa Al Ahly waliweza kuonyesha kuwaunga mkono Palestina na hakuna aliyewabughudhi, je Kibu akitupia bao akaonyesha hisia zake kuisapoti Israel kwa sababu labda imani au logic yake inamwambia hivyo itakuwaje?
Suala la Yugoslavia na Apartheid South Africa pia ni unafiki wa FIFA katika kuchanganya siasa na michezo inapokidhi mahitaji yao.Russia ni same case scenario.Marekani imevamia Nchi nyingi tu duniani tena kwa sababu za uongo kama Iraq na kisingizio cha weapons of mass destruction.Apartheid inayoendeshwa na Israel kwa miaka zaidi ya 70.Umeona FIFA wakichukua hatua kwa kisingizio unachokileta cha siasa na michezo?Bado sielewi uhusiano wa hiki kilichopo kwenye mada hii na issue mnayoileta ya Russia. Kwa nini mnaitaja sana Russia ila mnaacha mifano ya Yugoslavia na Apartheid South Africa?
Na sio FIFA na Saudi Arabia?Umeanza kuhamisha magoli?Tunaongelea Africa na AFL
Watu ambao hawajawahi kushika pesa ndiyo wana mitazamo ya kilimbukeni kama hii wanaodhani ukiwa na pesa unaweza fanya lolote kwa yoyote.Waarabu ndio wenye pesa kwa sasa, michezo inachohitaji ni pesa tu hata Vatican wakitaka kumiliki timu watu hawana shida kikubwa pesa, official broadcaster wa AFL ni abudhabi sport ndio walioweka mpunga mrefu
Nishike mara ngapi acha kuwa na akili finyu mpira na maisha currently ni pesa wachezaji wanakimbilia saudia currently kiss pesa, ribon za mashoga wachezaji wanavaa kisa pesa, na kila anaedhamini kitu anakuwa na malengo yake huna kitu unataka vitu vya watu fuata mashart,Watu ambao hawajawahi kushika pesa ndiyo wana mitazamo ya kilimbukeni kama hii wanaodhani ukiwa na pesa unaweza fanya lolote kwa yoyote.
Suala la Yugoslavia na Apartheid South Africa pia ni unafiki wa FIFA katika kuchanganya siasa na michezo inapokidhi mahitaji yao.Russia ni same case scenario.Marekani imevamia Nchi nyingi tu duniani tena kwa sababu za uongo kama Iraq na kisingizio cha weapons of mass destruction.Apartheid inayoendeshwa na Israel kwa miaka zaidi ya 70.Umeona FIFA wakichukua hatua kwa kisingizio unachokileta cha siasa na michezo?
Hata sijakuelewa. Msingi wa hii mada haijawahi kuihusu FIFA wala Saudi Arabia, imehusu vitendo vya kuonyesha mlengo wa kisiasa kwenye mechi ya mpira ambavyo vimetendwa na mashabiki kadhaa na HASA HASA wachezaji wa Al Ahly ambavyo vina uashiria kuwa vimebarikiwa na CAF maana mpaka sasa hawajavikemea. Nimekuwa clear sana na nia ya mada hii ila tatizo mnataka kuilazimisha iwe mada tofauti na iliyoletwa hadi unataka kuleta story za Saddam.Na sio FIFA na Saudi Arabia?Umeanza kuhamisha magoli?
Bado haujaijua pesa bwa mdogo. Walio na pesa na wakazoeana nayo hawana kelele na hawafanyi mambo kwa pupa na vurumai. Unanitia mashaka unaposema maneno haya, kwamba wewe ukilipwa pesa ya kutosha utafanya lolote utakaloambiwa?Nishike mara ngapi acha kuwa na akili finyu mpira na maisha currently ni pesa wachezaji wanakimbilia saudia currently kiss pesa, ribon za mashoga wachezaji wanavaa kisa pesa, na kila anaedhamini kitu anakuwa na malengo yake huna kitu unataka vitu vya watu fuata mashart,
Unanichanganya kishenzi nashindwa hata kukujibu labda atakuja mtu akusaidie. Unaitaja USA, Al Ahly na FIFA kama taasisi zinazofanana wakati moja ni nchi, nyingine ni timu nyingine ni taasisi ya mpira. Kama kunichanganya tu umeweza.Hiyo common sense yako inatia shaka kwani michezo na siasa imekuwa ikichanganywa inapokidhi mahitaji ya wakubwa.Hakuna hatua zinazochukuliwa kwa Nchi za magharibi wakiongozwa na USA.Ndio maana Israel anaendesha siasa za kimabavu bila hatua zozote kuchukuliwa. Ndio maana ni double standard kukemea wachezaji wa Al Ahly kuonyesha misimamo yao kisiasa iwe kosa wakati kwengine iwe sawa na wenye kusimamia huo mpira ni hao hao FIFA. Wachezaji wa Al Ahly wana haki yao kimsingi kuwaunga mkono wapalestina na kupinga haki hiyo ni double standard kwenye maamuzi yaliyopita ya FIFA.
Unajichanganya mwenyewe.Mada yako ni kuhusu kuchanganya michezo na siasa Umeshindwa kujibu hoja unasingizia kujichanganya.Nimeandika kuhusu double standard zinazofanyika kwa kisingizio cha kuchanganya siasa na michezo.Kuna kundi likifanya ni well and good.Lingine likifanya mayowe yanapigwa kulaani na kushinikiza hatua zichukuliwe.Kuwe na fairnessUnanichanganya kishenzi nashindwa hata kukujibu labda atakuja mtu akusaidie. Unaitaja USA, Al Ahly na FIFA kama taasisi zinazofanana wakati moja ni nchi, nyingine ni timu nyingine ni taasisi ya mpira. Kama kunichanganya tu umeweza.
Huna akili, ww hoja yako ni siasa zisichnganywe kabisa na michezo, na ukatuambia ya kuwa fifa wamekuwa wakisitiza kutochanganya siasa na michezo lakini ukasahau ya kuwa hao hao fifa ndo wameifungia Urusi kwa misingi ya kisiasa sasa hapo sijui wana pinga nn na wanakubali nn.Hata sijakuelewa. Msingi wa hii mada haijawahi kuihusu FIFA wala Saudi Arabia, imehusu vitendo vya kuonyesha mlengo wa kisiasa kwenye mechi ya mpira ambavyo vimetendwa na mashabiki kadhaa na HASA HASA wachezaji wa Al Ahly ambavyo vina uashiria kuwa vimebarikiwa na CAF maana mpaka sasa hawajavikemea. Nimekuwa clear sana na nia ya mada hii ila tatizo mnataka kuilazimisha iwe mada tofauti na iliyoletwa hadi unataka kuleta story za Saddam.
Mnatolea mifano ya Russia ila mnaacha mifano ya Kenya, Kuwait, Indonesia na Zimbabwe ambao kwa nyakati tofauti walipigwa ban kwa sababu ya serikali zao kuingilia masuala ya michezo. Hata Tanzania tuliwahi kuingia katika matatizo kutokana na wanasiasa kuingilia ishu za michezo. Haya yote lakini hayahusiani na mada UNLESS mnalalamika kwa nini Israel haijawa banned kama Russia na HILO NI NJE YA MADA HII, sijui kipi hakieleweki.
Sababu kubwa ya kuzuia haya mambo viwanjani ni kwa sababu mitazamo ya watu kuhusu siasa haifanani na haiwezi kufanana kamwe. Ushahidi upo katika uzi huu, hata sijasema naisapoti Israel ila tayari kuna watu wako tayari kuninyofoa korodani zangu kisa nimesema mambo ya siasa na dini yasiingizwe kwenye mpira. Ukiachia kila mtu aje viwanjani kuanzia wachezaji hadi mashabiki waseme wanalotaka kuhusu misimamo yao ya kisiasa na kiimani hakutakuwa tena na mpira. Hii ni common sense.
Upo sahihi ila wajahidina wanakupinga wao wanaona kila mahali wanaonewa. Mtu anakuvamia nyumbani kwako na kukuta umetulia na watoto wako wapo kwenye tamasha la mziki kisha anakuja kukupiga mabomu, kuua watoto wako alafu anawateka wengine.Je Mtanzania mmoja au raia wa nchi nyingine yoyote akisema aingie na bendera ya kuisapoti Israel pale Cairo katika gemu ya kesho ya Al Ahly vs Simba ataachwa kwa uhuru atoe maoni yake? Mnashindwa nini kuelewa mantiki ya mambo haya? Naona kama haya mashindano yatakuwa na mwisho mbaya maana tumeyaanza vibaya sana, samahanini kama nitakuwa nimewakwaza. Ona kilichotokea kule DRC issue ya TP Mazembe, siasa imeingizwa mwisho wa siku timu inalazimika kuhamisha makazi na kuua mantiki yote ya kuwa na mashindano mapya yenye hamasa za mashabiki.
Tulijadili bila kuweka hisia. Najua Palestina wana kilio chao na naheshimu mapambano yao.
Kuna kosa gani hapa? Mbona hata La Liga mechi karibu zote zina "Free Palestine"?Kutokana na mzozo wa kisiasa unaoendelea huko Mashariki ya Kati, mechi ya ufunguzi iligubikwa na viashiria vya kusapoti Palestina
Ondoa Hilo neno hatia maana katika mgogoro huu wao ndio wameanza uchokozi.Mimi sioni kama kuna tatizo watu kupaza sauti zao kuwatetea Wapalestina wasio na hatia kuuwawa miaka nenda na hao Mayahudi.
Wakitaka watu kunyamaza, basi yaundwe Mataifa mawili kama mikataba ya huko nyuma inavyotaka.
Kwa hiyo kesho Boko akiingia uwanjani na fulana ya kuiunga mkono Israel na akifunga avue Jezi na abaki na hiyo fulana imeandikwa "Go on Israel Kill all foolish Palestinian" itakuwaje uwanjani?Hiyo common sense yako inatia shaka kwani michezo na siasa imekuwa ikichanganywa inapokidhi mahitaji ya wakubwa.Hakuna hatua zinazochukuliwa kwa Nchi za magharibi wakiongozwa na USA.Ndio maana Israel anaendesha siasa za kimabavu bila hatua zozote kuchukuliwa. Ndio maana ni double standard kukemea wachezaji wa Al Ahly kuonyesha misimamo yao kisiasa iwe kosa wakati kwengine iwe sawa na wenye kusimamia huo mpira ni hao hao FIFA. Wachezaji wa Al Ahly wana haki yao kimsingi kuwaunga mkono wapalestina na kupinga haki hiyo ni double standard kwenye maamuzi yaliyopita ya FIFA.