Tukifanya Hivi, Kina Mwamposa na Manabii kuwa Walipa Kodi Wakubwa

Yale maji yanauzwa buku
Kama ulinunua 5000 umepigwa na wahuni
Niende kwa mwamposa mimi???sijawahi kuamini kwenye ununuzi wa baraka
hayo maneno niliyasikia kutoka kwa jamaa alienda na nasikia wapo hadi wanaoyanunua hayo maji kwa Tsh 100,000/=.
 
Mbona sasa unaongea kitu usichokuwa na hakika nacho?
Kama walinunua hiyo hela basi walipigwa na matapeli.
 
Ndiyo ukweli huo.

Catholic wao wapo kwa miaka mingi na namna yao ya upigaji/business imeshaundwa kitaasisi kwahiyo kila mmoja anaona ni sawa tu.

Mwamposa yeye yupo kwenye kipindi cha mwanzo sasa lazima tumuone yeye ni kibaka. Bado hatujazoea upigaji wake kwahiyo tunalalamika.

Jamaa akikomaa muda mrefu watu watasahau wataona kawaida tu.

Kumbuka wajinga hawaishi kwahiyo huduma za mwamposa and co hazitakoma.
Acha kutusi watu unajiona mwerevu Sana. Unadhani wanaoenda kwa Mwamposa ni wajinga?. Kama huendi kuabudu hapo heshimu watu hao. Wengine wanafuata uponyaji na wengine huabudu pale so heshimu Imani za watu.
 
TRA na Bunge kama posho zao hawakatwi kodi it is wrong same kwa mapadre ,masista na mabruda wa kanisa katoliki kama hawakatwi kodi posho zao it is wrong
Acha kuwa kipofu na Mwalimu na Kiongozi Wa Vipofu mwana Wa uasi na wakili Wa Shetani katika nyakati hizi za Kuelekea kujifunua Kwa yule Mwasi na mpinga Kristo.

Mapadri na wachungaji na Hao masister uliowataja wanalipwa Kwa pesa ambazo ni Sadaka za waumini Wao au wanachama Wao. Ningeingia madarakani Taasisi zote za Dini ningezipa ruzuku kama vyama vyama vya siasa na NGO nyingine KWENYE jamii . Lakini sifa ni lazima Dini zijiendeshe kama taaisisi SIO Mali ya MTU na familia yake Huku AKIWA anafanya Biashara ya kuuza bidhaa za viwandani Kanisani.

Mishahara ya watumishi Wa makanisa yanayojiendesha kitaasisi inatokana na sadaka.
Sadaka ni Kile wanachotoa waumini kutokana na vipato vyao ama ni mishahara au ni faida kwenye biashara zao . Wakajinyima Kwa misingi ya Imani na maelekezo ya Biblia na Kwenda KUTOA Sehemu Kwa ajili ya KAZI ya MUNGU hapa Duniani na Kwa ajili ya kupata tahawabu Mbinguni Kwa misingi ya Imani ya Kikristo au Hata kiislam na karibu Imani zote .
Wanachokipata kutoka Kwa watumishi Hao wanawatumikia ni mafundisho ya KIROHO na kurudi Nyumbani Wakiwa na Imani rohoni na SIO kurudi Nyumbani Wakiwa wameuziwa bidhaa na kuwa ndicho walichokipata KWENYE Ibada Kanisani. Ajabu ZAIDI inakua ni bidhaa inayouzwa Kila Siku ya Jumapili na kurudi nayo Nyumbani mikononi Huku rohoni pakiwa pamejaa Chuki,uongo,tamaa mbaya , uadui, tamaa ya Fedha na roho mbaya.

Sasa Sadaka hizo zinapatikanaje Kwa Waumini ?

Kwama ni waajiri au Mabwana wakubwa na waajiriwa au watumwa Wa umma wanaoitwa watumishi Wa Umma ni Baada ya mishahara Yao kuwa imeshakatwa Kodi na Kwenda SERIKALINI ,Sasa wanakwenda Kanisani kumshukuru Mungu Kwa Sehemu ya Kile kiasi kilichobaki Ili KAZI ya Mungu ifanyike.

Kama ni matajiri au wafanyabiashara nao ni hivyohivyo. Wanaangalia faida Yao na Kwenda Kanisani kumshukuru Mungu Kwa Kutoa Sadaka . Kweye hizo Sadaka Bado Kuna Sehemu ya kusaidia yatima na wajane Kama Dini yeyewe Kama taasisi inavyoelekeza na Mungu alivoelekeza SIO matakwa ya MTU kujitajirisha mwemyewe na familia yake Huku AKIWA amesajili kanisa mama Mali yake na MKE wake.

Tofauti na Biashara ya Kwenda Israelí au Uarabuni na Kununua majivu au mafuta yanayotumika KUTOA majini au Kununua makontena ya vitambaa vya hengachifu na Kwenda kuviuza Kwa Bei ya juu kuliko iliyoko kwenye soko la wafanyabishara Wa mitaani.

Vitambaa tiba au Maji tiba au Chumvi na sabuni tiba hizo zinaletwa Kama bidhaa ya MTU na kuuzwa Kwa Bei ya faida Kwa wazi kabisa Kwa maelfu ya pesa na wanapopata faida wahusika wanajiingiza kwenye maisha ya Anasa na ufahari mkubwa kama kuliko wafanyabishara wanaolipa Kodi kwenye Biashara za bidhaa kama hizo.
Hiyo SIO Sawa tuache kushabikia uovu na kulinajisi kanisa la Kristo na nguvu zilizoko damuni mwa mwanakondoo Wa Mungu.
Damu ya Yesu ilipomwagika na kuingia ardhini ilitakasa vitu vyote kama ilivyokuwa mwanzo wakati Wa uumbaji na Yesu akawa mzaliwa Wa kwanza alipofufuka.
Hivyo hakuna bidhaa yoyote inayoweza kumsaidia Kristo kuondoa magonjwa Wala laana Wala mikosi ZAIDI ya Damu yake ,Neno na roho Mtakatifu. Yeye ni Chakula Cha úzima,yeye ni kafara ya Kila kitu,yeye ni Maji ya úzima yeye ni njia , yeye ni kweli , yeye ni Jehova Rafa Yaana mponyaji ,yeye ni mwokozi Wa kuokoa katika shida zote za wanadamu.
Tuwafundishe wanadamu mambo haya makuu yanayopatikana ndani ya Krsto YESU na SIO vitambaa vinavyotengenezwa kwenye viwanda vya wachina na shabuni za viwanda vya wahindi na chumbu za kuokota kwenye Maji ya baharini.

Tuondokane na mafundisho manyonge ya vitambaa na Sasa tuhubiri nguvu za Damu ya Yesu Kristo mwanakondoo Wa Mungu aliyeichukua dhambi ya Ulimwengu .Sadaka ya milele.
 
Hili likatizamwe. Wanatakiwa walipe kodi maana wengine wana viwanda kabisa vya maji.

Na hata hayo mafuta ya Olive ama Mzeituni. Yalipiwe. Kila mmoja ana jukumu la kuchangia maendeleo ya Taifa lake katika chochote anachofanya.
 
Pale kawe kuna viwanja zaid ya kumi. Mwamposa kachukuwa kieneo kidogo sana. Eneo lililo baki la watu wanao taka kulipa kodi kwa uhakika. Nenden sasa mkachukue kama ni rahis. Alafu tutakuja tulipe kodi wote
 
Mleta mada usione hivi, kuna senior Officers nyuma ya hawa watu ktk kupiga hele!
Kumbuka hawa jamaa hawali peke yao wanakula na hao vishoka!
 
Nashindwa kuelewa kwanini TRA wanashindwa kuiga kwa Ruto wa Kenya na kuongeza mapato kutoka katika wimbi hili la mitume na manabii walioanzisha biashara ya Maji, chumvi, vitambaa nk wakiviita vya upako na kupata fedha nyingi sana kama biashara isiyo kodi wala cost of production. Msome Rais Ruto alivyoamua.

"Nimeongea na watendaji wa serikali yangu kuhusu baadhi ya wahubiri kucheza na imani za wakenya. Kuanzia sasa yule anataka kuuza maji asajiliwe na mamlaka ya maji, yule anataka kuuza mafuta asajiliwe na food and drugs authority, na yule anataka kuuza mbegu asajiliwe wizara ya kilimo. Watambulike kama wafanyabiashara, na serikali ijue wanauza ngapi kwa siku na walipe kodi. Huku kwa kanisa wabaki wanaoeneza neno la Mungu, sio wafanyabiashara. Hatuwezi kuruhusu imani za wakenya kuchezewa na wakora wachache, wanaotaka kujitajirisha kupitia shida za waumini wetu" William Samoei Ruto, Rais wa Kenya.
mimi nashindwa kuilewa hii serikali hata makanisa yenyewe yana hati zenye majina ya wwmanabii na hao mitume.mwamposa anafanya biashara yenye faida kubwa lkn serikali haimlipishi kodi,wamachinga wanao hustle mitaani ndo wanabanwa kulipa kodi.nchi hii ni ngumu inahitaji kichaa kuiongoza.mbali na kenya hata rwanda imepiga marufu uanzishaji makanisa holela lkn tz hata vibanda umiza vimefanywa kuwa makanisa.
 
Mbona sasa unaongea kitu usichokuwa na hakika nacho?
Kama walinunua hiyo hela basi walipigwa na matapeli.
Mimi hayo niliambiwa na mtu aliyeenda huko so nilikuwa sina budi kuamini as long as anayesema ni muhudhuriaji wa hayo mambo.

By the way,acha ibaki hivyo!
 
Basi alipigwa.
Matapeli pia wapo wengi tu kulingana na nyomi la watu pale.
 
Acha kuwa kipofu na Mwalimu na Kiongozi Wa Vipofu mwana Wa uasi na wakili Wa Shetani katika nyakati hizi za Kuelekea kujifunua Kwa yule Mwasi na mpinga Kristo.

Mapadri na wachungaji na Hao masister uliowataja wanalipwa Kwa pesa ambazo ni Sadaka za waumini Wao au wanachama Wao. Ningeingia madarakani Taasisi zote za Dini ningezipa ruzuku kama vyama vyama vya siasa na NGO nyingine KWENYE jamii . Lakini sifa ni lazima Dini zijiendeshe kama taaisisi SIO Mali ya MTU na familia yake Huku AKIWA anafanya Biashara ya kuuza bidhaa za viwandani Kanisani.

Mishahara ya watumishi Wa makanisa yanayojiendesha kitaasisi inatokana na sadaka.
Sadaka ni Kile wanachotoa waumini kutokana na vipato vyao ama ni mishahara au ni faida kwenye biashara zao . Wakajinyima Kwa misingi ya Imani na maelekezo ya Biblia na Kwenda KUTOA Sehemu Kwa ajili ya KAZI ya MUNGU hapa Duniani na Kwa ajili ya kupata tahawabu Mbinguni Kwa misingi ya Imani ya Kikristo au Hata kiislam na karibu Imani zote .
Wanachokipata kutoka Kwa watumishi Hao wanawatumikia ni mafundisho ya KIROHO na kurudi Nyumbani Wakiwa na Imani rohoni na SIO kurudi Nyumbani Wakiwa wameuziwa bidhaa na kuwa ndicho walichokipata KWENYE Ibada Kanisani. Ajabu ZAIDI inakua ni bidhaa inayouzwa Kila Siku ya Jumapili na kurudi nayo Nyumbani mikononi Huku rohoni pakiwa pamejaa Chuki,uongo,tamaa mbaya , uadui, tamaa ya Fedha na roho mbaya.

Sasa Sadaka hizo zinapatikanaje Kwa Waumini ?

Kwama ni waajiri au Mabwana wakubwa na waajiriwa au watumwa Wa umma wanaoitwa watumishi Wa Umma ni Baada ya mishahara Yao kuwa imeshakatwa Kodi na Kwenda SERIKALINI ,Sasa wanakwenda Kanisani kumshukuru Mungu Kwa Sehemu ya Kile kiasi kilichobaki Ili KAZI ya Mungu ifanyike.

Kama ni matajiri au wafanyabiashara nao ni hivyohivyo. Wanaangalia faida Yao na Kwenda Kanisani kumshukuru Mungu Kwa Kutoa Sadaka . Kweye hizo Sadaka Bado Kuna Sehemu ya kusaidia yatima na wajane Kama Dini yeyewe Kama taasisi inavyoelekeza na Mungu alivoelekeza SIO matakwa ya MTU kujitajirisha mwemyewe na familia yake Huku AKIWA amesajili kanisa mama Mali yake na MKE wake.

Tofauti na Biashara ya Kwenda Israelí au Uarabuni na Kununua majivu au mafuta yanayotumika KUTOA majini au Kununua makontena ya vitambaa vya hengachifu na Kwenda kuviuza Kwa Bei ya juu kuliko iliyoko kwenye soko la wafanyabishara Wa mitaani.

Vitambaa tiba au Maji tiba au Chumvi na sabuni tiba hizo zinaletwa Kama bidhaa ya MTU na kuuzwa Kwa Bei ya faida Kwa wazi kabisa Kwa maelfu ya pesa na wanapopata faida wahusika wanajiingiza kwenye maisha ya Anasa na ufahari mkubwa kama kuliko wafanyabishara wanaolipa Kodi kwenye Biashara za bidhaa kama hizo.
Hiyo SIO Sawa tuache kushabikia uovu na kulinajisi kanisa la Kristo na nguvu zilizoko damuni mwa mwanakondoo Wa Mungu.
Damu ya Yesu ilipomwagika na kuingia ardhini ilitakasa vitu vyote kama ilivyokuwa mwanzo wakati Wa uumbaji na Yesu akawa mzaliwa Wa kwanza alipofufuka.
Hivyo hakuna bidhaa yoyote inayoweza kumsaidia Kristo kuondoa magonjwa Wala laana Wala mikosi ZAIDI ya Damu yake ,Neno na roho Mtakatifu. Yeye ni Chakula Cha úzima,yeye ni kafara ya Kila kitu,yeye ni Maji ya úzima yeye ni njia , yeye ni kweli , yeye ni Jehova Rafa Yaana mponyaji ,yeye ni mwokozi Wa kuokoa katika shida zote za wanadamu.
Tuwafundishe wanadamu mambo haya makuu yanayopatikana ndani ya Krsto YESU na SIO vitambaa vinavyotengenezwa kwenye viwanda vya wachina na shabuni za viwanda vya wahindi na chumbu za kuokota kwenye Maji ya baharini.

Tuondokane na mafundisho manyonge ya vitambaa na Sasa tuhubiri nguvu za Damu ya Yesu Kristo mwanakondoo Wa Mungu aliyeichukua dhambi ya Ulimwengu .Sadaka ya milele.
Kifupi unachoongea hujui baadhi ya makanisa mengine makubwa makongwe nje ya katoliki viongozi wa dini hulipwa posho zao kupitia sadaka za waumini na kodi za Serikali wanakatwa na Michango ya NSSF ya mifuko ya pension wanakatwa kwenye hizo posho zao na wakizeeka wakistaafu wanalipwa lumpsum Pension na monthly pension ya kila mwezi na mifuko ya pension ya serikali hadi kifo chao ndio maana hata wakizeeka huwa hawang'ang'anii kuwa viongozi kanisani kama makanisa mengine ambayo hata kiongozi awe kikongwe vipi bado anaendekea kuitwa padri au mchungaji mwendelea kutegemea sadaka za waumini badala ya kuwasaidia waumini kutua mzigo huo ubebwe na mashirika ya pension kama NSSF badala ya kuendelea kusumbua waumini na sadaka zao waendelee kulea viongozi vikongwe visivyotaka kuachia madaraka sababu havijui vitaishije vikiacha kazi kwa kisingizio hakuna kustaafu na hivyo kuendelea kusumbua waumini watoe sadaka kuvitunza
 
Nashindwa kuelewa kwanini TRA wanashindwa kuiga kwa Ruto wa Kenya na kuongeza mapato kutoka katika wimbi hili la mitume na manabii walioanzisha biashara ya Maji, chumvi, vitambaa nk wakiviita vya upako na kupata fedha nyingi sana kama biashara isiyo kodi wala cost of production. Msome Rais Ruto alivyoamua.

"Nimeongea na watendaji wa serikali yangu kuhusu baadhi ya wahubiri kucheza na imani za wakenya. Kuanzia sasa yule anataka kuuza maji asajiliwe na mamlaka ya maji, yule anataka kuuza mafuta asajiliwe na food and drugs authority, na yule anataka kuuza mbegu asajiliwe wizara ya kilimo. Watambulike kama wafanyabiashara, na serikali ijue wanauza ngapi kwa siku na walipe kodi. Huku kwa kanisa wabaki wanaoeneza neno la Mungu, sio wafanyabiashara. Hatuwezi kuruhusu imani za wakenya kuchezewa na wakora wachache, wanaotaka kujitajirisha kupitia shida za waumini wetu" William Samoei Ruto, Rais wa Kenya.
TRA na wakina mwamposa kundi 1 na wakuu wa wilaya mkoa mawaziri
ukitaka kuamini nenda kwa mkuu wa wilaya kahoji uhalali wa makanisa kupiga miziki na vilio usiku kucha mchana kutwa auone kama utasikilizwa

ifakara kanisa limejengwa mita 5 kutoka msikiti ulipo tumeenda kulalamika kwa mkuu wa wilaya mpaka sole za viatu zimeisha tukahamia kwa mkuu wa mkoa moro nako tumetembea mpaka nauli zimtuishia bila kusikizwa chezea mkanisa wewe hao ndio watawala wanchi hii
 
Hali peke yake hiyo hela. Kuna wakubwa kibao nyuma ya utapeli huo.

Unajua sababu ya nabii Suguye kufungiwa? Nitafute inbox nikujuze.
Hivi hili sakata la suguye nini shida hasa
 
Back
Top Bottom