Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Mafundisho ya dini yana favour sana upande wetu wanaume. Vipi kuhusu wanawake? Mbona wao hawaongeleki?
Baada ya kufika mbinguni na bus la Isamilo Express, tutapokelewa na malaika ambao watatulaki na kutufungulia lango la mbingu. Wanaume safi akiwemo mimi ambao tunachakata mbususu kwa staha kwa kutumia style moja tu iliyopendekezwa na Sir God, wanaume ambao hatuchakati mbususu nje ya ndoa, ambao tunapiga maombi kabla ya kuzini tutakabidhiwa wanawake 72 ambao ni mabikra nikiwa na maana ya ambao hawajaguswa na mkuyenge wa aina yoyote
Maswali:
a) Hao wanawake 72 kwa kila mmoja watatoka wapi? Au kazi ya uumbaji itaanza upya. Je hawatokuwa wasumbufu kama hawa tulionao?
b)Vipi kuhusu mke wangu Mama Chanja baada ya kufika jiji la Heaven. Namuamini sana mke wangu. Na yeye atakabidhiwa Njunga 72 ambazo hazijaguswa na mbususu ya aina yoyote?