QUR'AN 2:25. Na wabashirie walio amini na wakatenda mema kwamba watapata mabustani yapitayo mito kati yake; kila watapo pewa matunda humo, watasema: Haya ndiyo kama tuliyo pewa mbele. Na wataletewa matunda yaliyo fanana; na humo watakuwa na )(azwajan) walio takasika; na wao humo watadumu.
25
Katika Qur’an, Mahuralyn wanaitwa “marafiki” wanaochunga macho yao”, wenye macho yenye haya, makubwa, ya kurembuka, na ya mahaba, macho ya mfano wa lulu, mazuri, ya kuvutia.
Allah ameahidi kwenda kuwaoze Waislam hoa wanawake 72 Mahurulaini, kwa hivyo jiwe hili ni kwa ajili ya ahadi hizo, hii ni ahadi iliyokuja miAka 615 baada ya Kristo, ambayo Muhammad ametoa ahadi kwa waislamu kuwa, siku ya mwisho, watakwenda kuozwa wanawake wenye kupendeza wenye macho makubwa kama mayai ya mbuni na maziwa yao kama mabakuli. Maziwa yaliyojaa,manene.
ﺇِﻟَّﺎ ﻋِﺒَﺎﺩَ ﺍﻟﻠَّﻪِ ﺍﻟْﻤُﺨْﻠَﺼِﻴﻦَ
Quran 37:40. Isipokuwa waja wa Mwenyeezi
Mungu waliosafishwa.
ﺃُﻭْﻟَﺌِﻚَ ﻟَﻬُﻢْ ﺭِﺯْﻕٌ ﻣَّﻌْﻠُﻮﻡٌ
41. Hao ndio watapata riziki maalumu.
ﻓَﻮَﺍﻛِﻪُ ﻭَﻫُﻢ ﻣُّﻜْﺮَﻣُﻮﻥَ
42. Matunda na wao wataheshimiwa.
ﻓِﻲ ﺟَﻨَّﺎﺕِ ﺍﻟﻨَّﻌِﻴﻢِ
43. Katika Bustani zenye neema.
ﻋَﻠَﻰ ﺳُﺮُﺭٍ ﻣُّﺘَﻘَﺎﺑِﻠِﻴﻦَ
44. Juu ya vitanda vya fahari wakikabiliana.
ﻳُﻄَﺎﻑُ ﻋَﻠَﻴْﻬِﻢ ﺑِﻜَﺄْﺱٍ ﻣِﻦ ﻣَّﻌِﻴﻦٍ
45. Wakizungushiwa kikombe chenye (kinywaji)
safi.
ﺑَﻴْﻀَﺎﺀ ﻟَﺬَّﺓٍ ﻟِّﻠﺸَّﺎﺭِﺑِﻴﻦَ
46. Cheupe chenye ladha kwa wanywao.
ﻟَﺎ ﻓِﻴﻬَﺎ ﻏَﻮْﻝٌ ﻭَﻟَﺎ ﻫُﻢْ ﻋَﻨْﻬَﺎ ﻳُﻨﺰَﻓُﻮﻥَ
47. Hakina. madhara, wala hakiwaleweshi.
ﻭَﻋِﻨْﺪَﻫُﻢْ ﻗَﺎﺻِﺮَﺍﺕُ ﺍﻟﻄَّﺮْﻑِ ﻋِﻴﻦٌ
48. Na pamoja nao watakuwa wanawake wenye
macho mazuri matulivu.
ﻛَﺄَﻧَّﻬُﻦَّ ﺑَﻴْﺾٌ ﻣَّﻜْﻨُﻮﻥٌ
49. Hao wanawake kama mayai (ya Mbuni) yaliyohifadhiwa.