Tukifuata dhana ya profesa leo hii Rais Samia angeenda Uganda na ndege ya mkopo

Tukifuata dhana ya profesa leo hii Rais Samia angeenda Uganda na ndege ya mkopo

Uda

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2010
Posts
811
Reaction score
623
Katika uislamu mkopo si jambo la heri.
Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai??

Tutafakari
 
Upo dunia ya wapi, nani kakwambia serikali ya Tanzania ishakosa ndege ya Rais tangu tupate uhuru

Nikupe taarifa, tulishambiwa tule nyasi ili ndege ya Rais inunuliwe na ikanunuliwa ndege ya Rais

Ila maisha yanaenda kasi sijui yupo wapi mzee Mramba eti tule nyasi Rais apate ndege
 
Upo dunina ya wapi nani kakwambia serikali ya tanzania ishakosa ndege ya rais tangu tupate uhuru

Nikupe tarifa tulishambiwa tule nyasi ili ndege ya rais inunuliwe na ikanunuliwa ndege ya rais

Ila.maisha yanaenda kasi sijui yupo wapi mzee mramba eti tule nyasi rais apate ndege
Mleta uzi naona ameumia sana kwa report ya CAG kwani imeyaanika madhaifu ya serikali ya jiwe
 
Katika uislamu mkopo si jambo la heri.
Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje Kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai??
Tutafakari
Muislam sio wewe peke yako.
Mkopo haukatazwi, riba ndio inakatazwa. Kumbuka PBZ inakopesha watu na full islamic.

Rais ana ndege yake pia, hoja yako ya kukinzana na Prof haina mashiko
 
Tofautisha ndege ya rais,ambayo ipo hata kabla ya jpm na ndege za kufanyia biashara ya kubeba abiria, yaani atcl. Zinazoleta maneno ni hizo za biashara,umeelewa?!!

Watu wengi hawaijui mantik ni nini,kwa hiyo sio ajabu kwa mleta mada kuja na mada hio.
 
Back
Top Bottom