Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Usiwe mbishi wakati kichwani ni empty box. Ndege maalum za Marais wetu zilishakuwepo tangu enzi za Nyerere. Na ndege ya mwisho kabisa kununuliwa ilikuwa enzi za Mkapa!walikuwa wanatumia ndege za mkopo?
Ndicho kipindi tulichotakiwa na Waziri wa Fedha wa wakati huo ukiwa chekechea Basil Pesambili Mramba, ikibidi tule majani! Ili tu ndege ya Rais inunuliwe! Magufuli amewavuruga sana nyinyi MATAGA.