Patra31
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 6,918
- 13,885
Watu mnajua kufukua makaburi😂😂😂Halafu wewe eti mwaka 2015 ulihoji kipaumbele cha Elimu Elimu Elimu kwa madai kuwa wewe umeelimika na huoni mantiki yake.
ELIMU ELIMU ELIMU! kwani kiwango cha elimu kwa watanzania kikoje kwa sasa?
Siasa ni mchezo mchafu na msafi. Hivi kiwango cha elimu kwa watanzania kwa sasa kikoje? Wenye elimu walioko makazini ni wangapi? Wenye elimu walioko mtaani ni wangapi? Wenye elimu ya sekondari, chuo ufundi au ujuzi flani wako wangapi? Wenye elimu wametufikisha wapi au wamekwama wapi...www.jamiiforums.com