Tukifuata dhana ya profesa leo hii Rais Samia angeenda Uganda na ndege ya mkopo

Tukifuata dhana ya profesa leo hii Rais Samia angeenda Uganda na ndege ya mkopo

Acha kuandika upumbavu.
Katika uislamu mkopo si jambo la heri.
Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai??

Tutafakari
 
And what difference does it make? Ndege ya Rais tulishanunua Leo kaamua kupanda dude tu.
 
Sasa hivi nasikia ndege wanao tua pale ni wale tai wa kushika samaki
Kuna jamaa wanadai (kama ni kweli) kuwa wananchi wameomba wawe wanaanikia mazao yao kwenye runway na watautunza uwanja vizuri tu. Hakuna matarajio ya ndege kutua hivi karibuni
 
Katika uislamu mkopo si jambo la heri.
Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai??

Tutafakari
Kwani hakuna ndege ya Rais..
Acheni kutetea upumbav na wizi Tumepigwa sana na huyu jamaa na genge lake...
Yeye si alikuwa anaenda na magari 180, means msafara watu zaidi ya 200 !!
 
hawa ndo wasomi wa jf badala ya kumuelimisha mtu wanamtukana
 
GFA (Government Flight Agency), ndege za serikali ikiwemo ya Rais.
ATCL ( Air Tanzania Limited), Shirika la Ndege Tanzania), kampuni ya usafiri wa ndege inayomilikiwa na serikali.
Mleta Post unakiwango cha chini sana cha kuanzisha hoja, hoja hii ni ya mwanafunzi wa kiwango cha madrasa.
Unamaanisha mleta uzi ni mwanafunzi wa Haji Manara?
 
Usiwe mbishi wakati kichwani ni empty box. Ndege maalum za Marais wetu zilishakuwepo tangu enzi za Nyerere. Na ndege ya mwisho kabisa kununuliwa ilikuwa enzi za Mkapa!

Ndicho kipindi tulichotakiwa na Waziri wa Fedha wa wakati huo ukiwa chekechea Basil Pesambili Mramba, ikibidi tule majani! Ili tu ndege ya Rais inunuliwe! Magufuli amewavuruga sana nyinyi MATAGA.
Kuna watu wanajua Tanzania ya miaka mitano tu...ndio wanaongoza kwa hizi posti
 
Ninachokiona humu JF wengi ni wasomi wasiokuwa na maarifa kama alivyo Prof. Assad. Mfano mzuri wa mtu asiyekuwa na elimu lakini ana maarifa ni mbunge wa Kahama ndugu kishimba. Dunia ya leo inatakiwa uwe na maarifa zaidi kuliko kuwa profesa bila maarifa.
 
Kwani hakuna ndege ya Rais..
Acheni kutetea upumbav na wizi Tumepigwa sana na huyu jamaa na genge lake...
Yeye si alikuwa anaenda na magari 180, means msafara watu zaidi ya 200 !!
Unaijua ndege iliyotumika leo?
 
GFA (Government Flight Agency), ndege za serikali ikiwemo ya Rais.
ATCL ( Air Tanzania Limited), Shirika la Ndege Tanzania), kampuni ya usafiri wa ndege inayomilikiwa na serikali.
Mleta Post unakiwango cha chini sana cha kuanzisha hoja, hoja hii ni ya mwanafunzi wa kiwango cha madrasa.
Leo kapanda ipi kwani?
 
Back
Top Bottom