Tukifuata dhana ya profesa leo hii Rais Samia angeenda Uganda na ndege ya mkopo

Katika uislamu mkopo si jambo la heri.
Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje Kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai??
Tutafakari
Wapi Uslam umekataza mikopo? Kama hujui masuala ya dini kaa kimya kwani uwezo kumtetea bila kutaja Uislam.
 
Katika uislamu mkopo si jambo la heri.
Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje Kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai??
Tutafakari
Daaaa!!kweli kuwa MATAGA, inatakiwa ujitoa ufahamu hata kama unao kidogo!!ina maana kipindi cha jk, alikuwa akisafiri anatumia ndege gani?na kumbe hata huelewi inshu ya ndege kukamatwa kuwa haihusiani na deni la ndege husika?kwani ile iliyokamatwa SA, si ndio katika hizo mlizonunua kwa cash?nchi kama una daiwa na kuna mali inatakiwa kukamatwa haijarishi hiyo mali ina deni au haina!!kwanini hamtaki tu kukubali kuwa zama za MZINANKENDE ZIMEKWISHA?
 
Katika uislamu mkopo si jambo la heri.
Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje Kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai??
Tutafakari
Uislam!!
 
mataga hawana cha maana wanachokijua zaidi ya wanachoambiwa kukifanya kwa ujira wa buku 7.
haya rudisha pesa yao umekosea leo
 
Katika uislamu mkopo si jambo la heri.
Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje Kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai??
Tutafakari
Sio sababu...serikali ina ndege yake. Pia kuna nchi nyingi viongozi wao hutumia ndege za kukodi...
 
Katika uislamu mkopo si jambo la heri.
Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje Kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai??
Tutafakari
Ficha ujinga.....
 
Ujinga kama wako ni mzigo mzita sana, unawezaje kuubeba?
 
Ww ni zero, kwenye uislamu hakuna sehemu iliyosema mikopo ni haramu,bali riba ndo haramu

Afu utakuta ni mwanaume hadi uwezo wa kufikiri umemshinda sasa huyu kweli unaweza kukuta ana. Watu wanamtegemea kabisa kwenye maisha
 
SHIDA NI kwamba timu marehemu na timu professor Assad hawajui kutetea hoja za watu wao zaidi ya matusi.na kutoana AKILI.
Msema peke mshindi
 
Katika uislamu mkopo si jambo la heri.
Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje Kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai??
Tutafakari
Halafu wewe eti mwaka 2015 ulihoji kipaumbele cha Elimu Elimu Elimu kwa madai kuwa wewe umeelimika na huoni mantiki yake.
 
Back
Top Bottom