Tukifuata dhana ya profesa leo hii Rais Samia angeenda Uganda na ndege ya mkopo

Tukifuata dhana ya profesa leo hii Rais Samia angeenda Uganda na ndege ya mkopo

unaijua ndege iliyonunuliwa kipindi hiko au unajishebedua tu.zwazwa ×2 wewe
Uda, unajua nini, upo vizuri sana kupangua hoja, nashauri kigwangala akukodi umsaidie kujibu hoja za CAG, maana inavyoonekana yeye yupo vizuri zaidi kuwakosoa watafiti wa pale mhimbili kuhusu utafiti wa nyungu...
 
Katika uislamu mkopo si jambo la heri.
Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai??

Tutafakari
Acha kusifia ujinga. Enzi za misifa tumezifukia kule Chato na Mwendazake. Tuna maisha mapya.
 
hiyo si ilishatolewa kwa ATCL?
Bado tunaweza kununua ndege ya rais ya kisasa zaidi ambayo inaweza kuruka moja kwa moja hadi marekani, usituchukulie poa sisi ni nchi tajiri.....hatuna haja na mitumba yenu ya dili sijui inaitwa terrible teen....
 
Katika uislamu mkopo si jambo la heri.
Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai??

Tutafakari
Naaaa, angeenda na KQ, atoke haoa saa 9 usiku, akasote masaa 8 Airport ta Nairobi akisubiri connection ya Kisumu na Limuru afike Entebbe saa 10 magharib kesho yake. Tulizowa kuwca watumwa wa Kenya, shamba la bibi, 9 flights everyday. It was there most profitable route.
 
SHIDA NI kwamba timu marehemu na timu professor Assad hawajui kutetea hoja za watu wao zaidi ya matusi.na kutoana AKILI.
Msema peke mshindi
Prof amefika mbali kwa kuonesha na ku admit defeat na sasa kuanza kushindana na marehemu
 
Upo dunia ya wapi, nani kakwambia serikali ya Tanzania ishakosa ndege ya Rais tangu tupate uhuru

Nikupe taarifa, tulishambiwa tule nyasi ili ndege ya Rais inunuliwe na ikanunuliwa ndege ya Rais

Ila maisha yanaenda kasi sijui yupo wapi mzee Mramba eti tule nyasi Rais apate ndege
Maneno yanaumba, amegeuka 🐐 mwenyewe
 
Katika uislamu mkopo si jambo la heri.
Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai??

Tutafakari
Sawa deo kisandu
 
Hivi hujui toka enzi ya Mwalimu ilikuwepo ndege maalum ya Rais? Ile F 28 iliyobatizwa jina CCM (Chale Chale Mike) ndiyo ilikuwa ndege ya Rais enzi za Mwalimu,na baadae wakati wa Che Nkapa ikanunuliwa ile ya kifahari Gulfstream.
 
Walikuwa wanatumia ndege za mkopo?

Dada una shida fulani. Waliokuwa wanashikilia ndege hawakuwa watengeneza ndege, walikuwa ni makandarasi wa ujenzi. Ndege zikukuwa mali tu za mshitakiwa (Tanzania). Sijui umewezaje kufikia kiwango hicho cha kutofahamu. Lakini nakuombea poh, maana wachangiaji wanakushambulia sana!!
 
Katika uislamu mkopo si jambo la heri.
Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai??

Wee nae kweni hatuna ndege ya raisi .umesahau Julipo ambiwa ataa tule mchicha ndege lazima inunuliwe !!??
 
Back
Top Bottom