Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui tofauti ya ndege ya Rais na za Atcl? Akitumia hizo za Atcl ni kwa mapenzi yake mwenyewe.
Unaelewa hata Marekani ndege zilipoanzia Rais anasafiri kwa ndege ya serikali Air Firce One lakini serikali ya Marekani haina Shirika la Usafiri wa Ndege la serikali?Katika uislamu mkopo si jambo la heri.
Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai??
Tutafakari
Kwani na ndege ya Rais ilinunuliwa kwa nkopo?Walikuwa wanatumia ndege za mkopo?
Tanzania si kuna ndege rasmi ya rais? Si lazima rais atumie ndege ya ATCL.Katika uislamu mkopo si jambo la heri.
Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai??
Tutafakari
Kwani Mheshimiwa Rais angekwenda na ndege ya kukodi asingefika Uganda? Ndege ya Wagonjwa ya Regional Air iliyompeleka Magufuli Nairobi Hospital na kurudi ilikuwa ya ATCL? MaCCM Masukuma yanasahau Mramba alitulisha Watanzania majani kununua ndege ya Rais, hiyo ndege iko wapi mpaka Rais anasafiri na madege ya Mwendazake? Kwani kati ya Dar es Salaam na Kampala hakuna ndege za abiria zenye Daraja la Kwanza analostahili?Katika uislamu mkopo si jambo la heri.
Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai??
Tutafakari
Kwa nini ndege ya mkopo izuiliwe airport ilhali uko up to date na malipo ya mkopo? Mbona jamani mnakuja hapo na mijadala hata haiingii akilini saw sawa?Katika uislamu mkopo si jambo la heri.
Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai??
Tutafakari
Punguza ujinga kidogo mkuu. Prf. Hajasema ukope kwa masharti ya kukamatwa ndege.kasema inakopa na kulipa taratibu mpaka u.alize kwakuwa ni project ya muda mrefu. Sasa mbona haziendi ulaya?Katika uislamu mkopo si jambo la heri.
Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai??
Tutafakari
Jiwe aliwaweke kwapwani nyie mijitu,hujui kwamba kuna ndege ya Rais executive kuliko hyo midude ya Magu.Mifuas yote ya jiwe ni viazi mbatataKatika uislamu mkopo si jambo la heri.
Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai??
Tutafakari
By the way,kwa hyo ww bwege unaujua zaidi Uislam kuliko Assad na wengine?Katika uislamu mkopo si jambo la heri.
Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai??
Tutafakari
Katika uislamu mkopo si jambo la heri.
Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport
Katika uislamu mkopo si jambo la heri.
Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai??
Tutafakari
Kama hujui ni bora ukae kimya tu si vizuri kuonyesha ignorance yako public,hujui hata tofauti ya ndege ya Rais na ndege za biashara!?Katika uislamu mkopo si jambo la heri.
Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai??
Tutafakari
Tena ameongea Prof.na kisingida usoniKatika uislamu mkopo si jambo la heri.
Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai??
Tutafakari
Ndugu bora usichanganje dini na siasa. Ni nani alokwambia mkopo sio jambo la heri katika uislamu? Kama mkopo sio jambo la heri kwa nini yamewekwa bayana masharti ya kukopa na kukopesha katika Quran na hadithi za mtume?Katika uislamu mkopo si jambo la heri.