BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Sasa ataandikaje mambo yasiyo ya kipumbavu wakati yeye ni mpumbavu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ataandikaje mambo yasiyo ya kipumbavu wakati yeye ni mpumbavu?
Ndege ni fahari ya taifa. Tuzidiwe na Malawi, Uganda,Mauritius, sychelles nk BIG NO.Katika uislamu mkopo si jambo la heri.
Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai??
Tutafakari
Tununue ndege moja ya mizigo ilani ya CCM iheshimiwe.Tofautisha ndege ya rais,ambayo ipo hata kabla ya jpm na ndege za kufanyia biashara ya kubeba abiria, yaani atcl. Zinazoleta maneno ni hizo za biashara,umeelewa?!!
Watu wengi hawaijui mantik ni nini,kwa hiyo sio ajabu kwa mleta mada kuja na mada hio.
Hao washapoteza dira maana hata ukitetea ni kazi bure hata kama wanalazimisha legacy yake ibakie kama wanavyotaka ila hawataweza .Huu uzi leo umenivunja mbavu na siku hizi nimeamua kuwa msomaji tu. Vijana wanamtetea mzee wetu (R.I.P) kwa jasho na damu.
Aisee hizo ndiyo hasara kwa taifa kwa ajili ya mawazo ya mtu mmoja tu.Kuna jamaa wanadai (kama ni kweli) kuwa wananchi wameomba wawe wanaanikia mazao yao kwenye runway na watautunza uwanja vizuri tu. Hakuna matarajio ya ndege kutua hivi karibuni
Kuna ndege ya rais mama, ndege ya rais ilikuwepo kabla hamjanunua hizi zenu za cash.Walikuwa wanatumia ndege za mkopo?
Huyo mzee daima nitampigia salute maana anaitumia vema elimu yake.
Kwani ameenda na ya ATCL AU NDEGE YA RAISI?JARIBU KUFIKIRI HILIKatika uislamu mkopo si jambo la heri.
Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai??
Tutafakari
MleviKatika uislamu mkopo si jambo la heri.
Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai??
Tutafakari
Nawe pia acha
Usikurupuke kujibu kabla ya kusoma kwa kina
Kwani uliitwa kwenye thread hii au kizabizabina tu