Tukifuata dhana ya profesa leo hii Rais Samia angeenda Uganda na ndege ya mkopo

Tukifuata dhana ya profesa leo hii Rais Samia angeenda Uganda na ndege ya mkopo

Katika uislamu mkopo si jambo la heri.
Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai??

Tutafakari
Ndege ni fahari ya taifa. Tuzidiwe na Malawi, Uganda,Mauritius, sychelles nk BIG NO.
 
Tofautisha ndege ya rais,ambayo ipo hata kabla ya jpm na ndege za kufanyia biashara ya kubeba abiria, yaani atcl. Zinazoleta maneno ni hizo za biashara,umeelewa?!!

Watu wengi hawaijui mantik ni nini,kwa hiyo sio ajabu kwa mleta mada kuja na mada hio.
Tununue ndege moja ya mizigo ilani ya CCM iheshimiwe.
 
Huu uzi leo umenivunja mbavu na siku hizi nimeamua kuwa msomaji tu. Vijana wanamtetea mzee wetu (R.I.P) kwa jasho na damu.
Hao washapoteza dira maana hata ukitetea ni kazi bure hata kama wanalazimisha legacy yake ibakie kama wanavyotaka ila hawataweza .
 
Kuna jamaa wanadai (kama ni kweli) kuwa wananchi wameomba wawe wanaanikia mazao yao kwenye runway na watautunza uwanja vizuri tu. Hakuna matarajio ya ndege kutua hivi karibuni
Aisee hizo ndiyo hasara kwa taifa kwa ajili ya mawazo ya mtu mmoja tu.
 
Maprof wetu wa madesa mkuu,

Hakuna aliyevumbua hata sindano,

Yaani ajabu ni kuwa staili ya kupika ugali ipo zaidi ya karne lakini hakuna profesa hata mmoja aliyekuja na uvumbuzi wa kuboresha hata staili ya kupika ugali tu.
 
Walikuwa wanatumia ndege za mkopo?
Kuna ndege ya rais mama, ndege ya rais ilikuwepo kabla hamjanunua hizi zenu za cash.
Ndege zenyewe ticket ghali hebu rudisheni fastjet yetu
 
Nimewashusha wote mliomjibu huyo mjinga Uda, yaani unapoteza muda kumjibu mtu asiyejua tofauti ya ndege ya Rais na ndege za ATCL!
 
Katika uislamu mkopo si jambo la heri.
Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai??

Tutafakari
Kwani ameenda na ya ATCL AU NDEGE YA RAISI?JARIBU KUFIKIRI HILI
 
Katika uislamu mkopo si jambo la heri.
Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai??

Tutafakari
Mlevi
 
Umeshawahi kuniona naandika upuuzi kama huu? USIKURUPUKE kuandika vitu usivyo na uelewa navyo. JIONGEZE!
Usikurupuke kujibu kabla ya kusoma kwa kina
 
mama amesharudi nchini na Airbus ya Cash.
hupendi acha
 
Back
Top Bottom