kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Muislamu anashadadia riba hatwari na ni mtihani pia!Katika uislamu mkopo si jambo la heri.
Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai??
Tutafakari