Uda, unajua nini, upo vizuri sana kupangua hoja, nashauri kigwangala akukodi umsaidie kujibu hoja za CAG, maana inavyoonekana yeye yupo vizuri zaidi kuwakosoa watafiti wa pale mhimbili kuhusu utafiti wa nyungu...unaijua ndege iliyonunuliwa kipindi hiko au unajishebedua tu.zwazwa ×2 wewe
Acha kusifia ujinga. Enzi za misifa tumezifukia kule Chato na Mwendazake. Tuna maisha mapya.Katika uislamu mkopo si jambo la heri.
Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai??
Tutafakari
Bado tunaweza kununua ndege ya rais ya kisasa zaidi ambayo inaweza kuruka moja kwa moja hadi marekani, usituchukulie poa sisi ni nchi tajiri.....hatuna haja na mitumba yenu ya dili sijui inaitwa terrible teen....hiyo si ilishatolewa kwa ATCL?
Naaaa, angeenda na KQ, atoke haoa saa 9 usiku, akasote masaa 8 Airport ta Nairobi akisubiri connection ya Kisumu na Limuru afike Entebbe saa 10 magharib kesho yake. Tulizowa kuwca watumwa wa Kenya, shamba la bibi, 9 flights everyday. It was there most profitable route.Katika uislamu mkopo si jambo la heri.
Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai??
Tutafakari
Prof amefika mbali kwa kuonesha na ku admit defeat na sasa kuanza kushindana na marehemuSHIDA NI kwamba timu marehemu na timu professor Assad hawajui kutetea hoja za watu wao zaidi ya matusi.na kutoana AKILI.
Msema peke mshindi
Maneno yanaumba, amegeuka 🐐 mwenyeweUpo dunia ya wapi, nani kakwambia serikali ya Tanzania ishakosa ndege ya Rais tangu tupate uhuru
Nikupe taarifa, tulishambiwa tule nyasi ili ndege ya Rais inunuliwe na ikanunuliwa ndege ya Rais
Ila maisha yanaenda kasi sijui yupo wapi mzee Mramba eti tule nyasi Rais apate ndege
Ndege ni za serikali ATCL imekodishiwa hizo ndege.Hujui tofauti ya ndege ya Rais na za Atcl? Akitumia hizo za Atcl ni kwa mapenzi yake mwenyewe.
Sawa deo kisanduKatika uislamu mkopo si jambo la heri.
Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai??
Tutafakari
Hivi hujui toka enzi ya Mwalimu ilikuwepo ndege maalum ya Rais? Ile F 28 iliyobatizwa jina CCM (Chale Chale Mike) ndiyo ilikuwa ndege ya Rais enzi za Mwalimu,na baadae wakati wa Che Nkapa ikanunuliwa ile ya kifahari Gulfstream.Katika uislamu mkopo si jambo la heri.
Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai??
Tutafakari
Walikuwa wanatumia ndege za mkopo?
Duh, K?Anachokojolea ndio anatumia kufikiri maana ubongo wake haupo kichwani tena
Kamuulize yeye,unatuuliza sisi tena kwani ndiyo tunamoangia safari zake?Nyie mnaosema Tanzania ina ndege ya Rais mbona mama amekwenda na ndege ya ATCL ?
Anaelemishwa anazidi ubishi ngoja apate vitasa kwanza,Faiza Foxy ni mbishi sanahawa ndo wasomi wa jf badala ya kumuelimisha mtu wanamtukana
Katika uislamu mkopo si jambo la heri.
Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai??
Wee nae kweni hatuna ndege ya raisi .umesahau Julipo ambiwa ataa tule mchicha ndege lazima inunuliwe !!??
😂😂😂😂Maneno yanaumba, amegeuka 🐐 mwenyewe