Tukinunua umeme wa TANESCO units ziende automatically kwenye mita ya kisasa. Tuachane na habari za kuingiza TOKEN. Is this feasible and implementable?

Tukinunua umeme wa TANESCO units ziende automatically kwenye mita ya kisasa. Tuachane na habari za kuingiza TOKEN. Is this feasible and implementable?

Jamani.. maswala ya kusema sijui meter zitakua ghali mi naona hayana mashiko. Lengo la teknolojia ni kupunguza usumbufu kwa wateja walioko tayari kulipa na mara zote watu wako tayari kulipa ili kuondoa usumbufu..! Kama teknolojia hiyo tayari ipo kwanini isitangazwe na ipatikane kwa wateja walioko tayari kulipia..?

We pata picha mtu unaishi kwenye apartment ghorofa ya 15 umeme unaisha usiku wa manane na meter ipo chini.. uanze kushuka ngazi na taulo lako kiunoni mpaka chini kisa unaenda kuingiza umeme..? Tuko karne ya ngapi kwani?
Unaweza kuingiza umeme ktk mita yako ukiwa kitandani kwako kwa kutumia Keypad Customer Interface Unit (CIU), kule uswazi wanaita 'remote'. Mita za Luku za sasa zina hii facility. Pia mita za LUKU zinazofungwa juu ya nguzo pia zina hiki kidude ambacho kina uwezo wa kuwasiliana na mita umbali wa mzingo usiozidi mtr 50 hivi toka mita ilipofungwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana ila hapo ni lazima wateja wawe na madish au antena ambazo zitaweza kuwasiliana moja kwa moja na servers za Tanesco...
 
Mkuu, inasemekana hizi mita za sasa za kutumia remote control zinawasiliana moja kwa moja na servers za Tanesco na hazina dishes wala antennas
Sio kweli,ila kuna mita za wateja wakubwa ambazo zinafungwa juu ya nguzo hizo zina mawasiliano na servers za Tanesco..
 
Mchakato wa kuingiza umeme automatically kama unavyohitaji si rahisi kama unavyofikiria maana zipo variables kibao zinazohusika hadi pale units zinapoingia ktk mita yako. Hivi unaponunua airtime token kwa ajili ya simu yako, zile credits ulizonunua je uingia moja kwa mmoja ktk simu yako bila kuzi punch in physically?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unaishi nchi gani? Ukinunua credit kwa TigoPesa zinaingia moja kwa moja hamna mambo ya token. Tena unauwezo wa kununua bundle kabisa achilia mbali credit.
 
Mkuu, mbona kwenye decoders hakuna hizo data bundles za shillings 5,000 kila mwezi na mwananchi wa kawaida anaweza kumudu decoder kama ya Star Times pamoja na Ting??

Dada

Lile box la decoder lina tuner kwaajili tu ya kubadili scrambled TV signals zinazokuja kwenye hiyo frequency na kubadili hizo signals (discramble) them into readable signals ili kua na output kwenye TV yako kama picha na sauti,hakuna kingine.

Sasa kuhusu billing ni kwamba una smart card ina special number na chip kama ya simcard pale,ambayo ilishakua preprogrammed na keys nyingi kwa ajili ya ku-dispence watching time kila mara unapotununua.

Ndio maana wakati unalipia lazima uweke namba ya ile smart card,then unalipia inachukua one of the stored keys mle inakua validated ukienda kuchomeka ile card kwenye decorder yako inasoma ile key iliyokua validate kama watching token then decorder box inafungulia tuner ili uweze kupata picha...

Bila ile smartcard na kile kichuma cha simcard pale katikati ni ngumu sana maana ile tayari ina pre-stored keys kwa ajili ku-dispance watching times upon validations kila wakati unapolipia....

Bila hii card ni lazima decorder iwe na mawasiliano ya moja kwa moja na billing station..

Data bundles za 5,000/= za mwezi kwenye hizi electrical smart meters ni kwa ajili ya communications between the meter management station na hiyo meter hardware kwa mambo mbalimbali kama biling,kuchukua power consumption data,tampering information,ON/OFF infos,power switching info,errors,etc...Ni data nyingi mno zinachukuliwa kwenye hiyo mita kila baada ya dakika 30 period..hivyo bundle ya 5,000/= ni kama 200MB hivi,na mara nyingi inaweza isitoshe maana data ni mingi!

Na kwavile tunaingia kwenye IPTV decoder zote zina RJ45 nyuma,au wifi,au USD kwa ajili ya internet now...hivyo ni wewe kuunga tu upate IPTV.
 
Mzee zipo...

Shida ni kwamba hizo ni smart meters,bei ghali..unaweza kununua?

Ni karibu twice price ya convention digital meter!

Then lazima iwe na communication module,hapa ni GSM,sasa kila mwezi lazima uwe na bili ya 5,000/= ya data connection!

Sasa basi,hazina maana kwa sasa,ni upumbavu kimahesabu kwa uwezo duni kabisa wa kipato cha wananchi wa TZ for now!

Wateja wanao-make sense ni wa waviwandani kwa sasa,na wanazo tayari,zinaitwa AMR!

Kwa mtumiaji wa umeme wa 50,000/= kwa mwezi and less,itachukua miaka 10 kurudisha bei ya smart meter moja fully,ambapo ni upumbavu wa hali juu kabisa,plus 5,000/= ya data bundle ya kila mwezi sijui utalipa kwa hela gani wakati wewe bundle ya ku-surf JF ni matatizo!

Tuliza kipago for now.mahesabu hayakubali hata Jiwe a-subsidize gharama zake!

Mathematically it doesnot make sense kabisa..Tulieni hivyo hivyo!
Umeeleza vizuri kwanini haiwezekani. Tatizo ni maneno uliotumia makali sana.
 
Mkuu, inasemekana hizi mita za sasa za kutumia remote control zinawasiliana moja kwa moja na servers za Tanesco na hazina dishes wala antennas

Hivi dada unajua LUKU token za umeme zinafanyaje kazi kwenye meter yako?

Currently hakuna mawasiliano yoyote ya mita yako nyumbani na Tanesco ila ukinunua luku ukija kuingiza inapokea na ku-validate na kuachia umeme,unaelewa ni kwanini na why?

Kuna dada mmoja alifanya 4th Year Project ya kitu na akapata A.

Sio rahisi hata kidogo,ni msururu wa mambo chungu nzima!

I wish ningeku-link nae akueleweshe
 
Yes wenye latest meter sasa hivi ukinunua umeme unaenda moja kwa moja hakuna haja ya kutoboatoboa luku tena
 
Yes wenye latest meter sasa hivi ukinunua umeme unaenda moja kwa moja hakuna haja ya kutoboatoboa luku tena

Mkuu una uhakika 100%?

Nipe jina la hiyo mita,I mean model?

Ina antenna?

Usikute unasema zile zenye UIU (User Interface Unit) ambacho unakaa nacho ndani una-punch pale ukiwa umekaa bila kwenda kwenye meter physically?

Maana usijekuta ni hivyo wewe unasema ni wireless!

Hiyo ni manual sema ni split unit tu.

Ambapo UIU inawasiliana na meter box kwa RF signals...

Hii bado sio classic token wireless delivery to the meter bado!
 
Mkuu nina uhakika 100% wenye LUKU za sasa hivi ukinunua umeme kwa hiyo no inaingia moja kwa moja huna haja ya kwenda kuingiza tena..

Mimi sio mjuzi wa kujua model ila najua nina mita mpya ya LUKU ulizia utaambiwa mkuu kwamba za sasa hivi ukishanunua token huna haja ya kuingiza tena
 
I see!

Basi siku unaiangalia naomba utanipa model name yake mkuu!

Maana hakuna njia ingine ya mawasiliano ya smart meter na billing station bila GSM,ambapo tunazungumzia internet bundle ya kila mwezi which is a very funny proportion with Tanesco!

Tena kwa meter ya domestic kama hivyo,it is impossible maana wanajikusanyia hasara monthly tu!
 
Sawa mkuu
 
Mkuu nina uhakika 100% wenye LUKU za sasa hivi ukinunua umeme kwa hiyo no inaingia moja kwa moja huna haja ya kwenda kuingiza tena..

Mimi sio mjuzi wa kujua model ila najua nina mita mpya ya LUKU ulizia utaambiwa mkuu kwamba za sasa hivi ukishanunua token huna haja ya kuingiza tena
Nadhani kuna mambo umechanganya Miss Madeko. Ebu tuelezee hapa, huo umeme unaoingia automatically kwenye meter unaununuaje? Concern kubwa ya mleta Uzi huu ilikuwa kuingiza umeme kwenye mita moja kwa moja bila usumbufu wa kufanya input ktk meter.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani kuna mambo umechanganya Miss Madeko. Ebu tuelezee hapa, huo umeme unaoingia automatically kwenye meter unaununuaje? Concern kubwa ya mleta Uzi huu ilikuwa kuingiza umeme kwenye mita moja kwa moja bila usumbufu wa kufanya input ktk meter.

Sent using Jamii Forums mobile app

Unaingia automatically huna haja ya kwenda kuingiza no kwenye mita
 
Unaingia automatically huna haja ya kwenda kuingiza no kwenye mita
Miss Madeko, jifanye wewe ni mwalimu na sisi ni wanafunzi wako kisha tueleweshe vizuri maana maelezo yako ni mafupi mno.
Huo umeme unanunua kwa njia IPI!
Unanunua toka TANESCO, kwa wakala, kwa njia ya simu au ktk ATM?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miss Madeko, jifanye wewe ni mwalimu na sisi ni wanafunzi wako kisha tueleweshe vizuri maana maelezo yako ni mafupi mno.
Huo umeme unanunua kwa njia IPI!
Unanunua toka TANESCO, kwa wakala, kwa njia ya simu au ktk ATM?

Sent using Jamii Forums mobile app

Pole sana nadhani mimi sio mwalimu mzuri... Ni hivi unanunua umeme kwenye njia yoyote ile lakini automatically unaingia kwenye luku bila kwenda kubofya bofya ile mita. kama ukinunua king'amuzi chanel iznavyorudi automatic.
 
Back
Top Bottom