Tukio gani baya ulilowahi kukutana nalo usiku?

Tukio gani baya ulilowahi kukutana nalo usiku?

Ukiwa na pesa nyingi panda bike, panda ,tax wahi ufike salama haya mambo ya kuwa bahili sanaa ukiwa na pesa nyingi ni hatari sana R.I. P dada wakala
Sema mimi sijui kwanini gari lipo ila sitaki kuendesha,boda boda masela wengi nawajua ila sitaki lifiti,mda mwingine napenda kutembea kwa miguu,tena usiku wa kiza kinene kwa mtu anayejua arusha usiku panakuaje bonge la giza ni makelele ya umbwa kama wote
 
Chuga bhana sijui kwa nini wanapenda kufuga mambwa halafu kuyahudumia hawawezi, wanayaacha yanazagaa mtaani kama Njiro kuna ma mbwa kibao, sema sababu moja nahisi watu wa kule ukijisahau tu wanakuvamia😀😀ndo maana mageti mengi kule yana vibao vya makampuni ya ulinzi.
 
Kuna siku nimetoka nje usiku nafungua geti nakuta Kuna mtu kanya mavi fungu kubwa aisee lile tukio lilikiwa la kutosha sana na wakati huo nilikuwa naenda hospital kuchoma sindano za masaa. Yale mavi yalikuwa ya week nzima. Hakuna mtu anaweza kunya fungu lile kwa siku moja. .
Dawa yake huyo aliekunya ungeenda kwa babu amfanyizie mnduku wake uwashe mwezi mzima na anuke kimavi mwezi mzima
 
Ule ni mkoa wa arusha na waarusha wanapenda kufuga maumbwa
 
Nikiwa na misele ya night lazima nitembee na kisu Cha kukunja.

Usitembee mkavu lazima uwe na ka silaha kadogo au tafuta pepper spray.

Usiku haufai

Na usitembee tu randomly bila kuwa na uelewekeo.

Mimi ukiniona natembea usiku basi Jua nafuata Kat somewhere otherswise huwa nachili home.
 
Kuna siku nimetoka nje usiku nafungua geti nakuta Kuna mtu kanya mavi fungu kubwa aisee lile tukio lilikiwa la kutosha sana na wakati huo nilikuwa naenda hospital kuchoma sindano za masaa. Yale mavi yalikuwa ya week nzima. Hakuna mtu anaweza kunya fungu lile kwa siku moja. .
🤣🤣🤣 atakua mwanaume uyo nasikia wanaume wanashusha mikubwa
 
Dawa yake huyo aliekunya ungeenda kwa babu amfanyizie mnduku wake uwashe mwezi mzima na anuke kimavi mwezi mzima
Kuna mtu nilimpa Hela akanunua sindano na ndimu akaweka kwenye mavi anadai atawasgwa matako. Ila bahati nzuri ilinyesha mvua kubwa Yale mavi yakaenda na maji. .

Watu walinitisha sana mara sijui nitapata mkosi wa mavi, mara nuksi, mikosi kwenye familia. Kila mtu alisema lake.
Ila Mungu ni Mwema sana hata waloge vipi hawakufanikiwa. .
 
kukimbizwa na sungusungu nilikuwa nipo na bibie fulan hv katika kiwanja cha mpira mchizi naforce nile tunda kimasihara.... aaah ghafla naona sungu sungu hawa hapa mda uo nanii ipo kwenye nani nilitoka mbio ile kinga nilienda kuvulia mbele ya safar uko. nilisikia yule demu akipigwa mikwaj akilia tu
Umenifanya ni cheke sana. Wewe ni boya, Huyo manzi ata kuona wewe ni mwanaume dhaifu na boya maisha yake yote. [emoji23][emoji23]
 
Kuna msiba Rombo tulikuw na baba yangu mdogo ambaye ni mrehemu (alikuw Diwan chadema RIP). Tulipakua chakula kidogo ila alitokea mama sijui wapi alikula mara nne yetu😂😂😂
You are wrong 😂😂
🤣🤣🤣 atakua mwanaume uyo nasikia wanaume wanashusha mi
 
Mwaka juzi nilikua natoka masasi narud dar ilikua kama saa 9 usiku ivi niliona wanaume wawili wanakimbia mdogo mdogo na maeneo hayo kuna poli hakuna kijiji karibu adi Leo sielew ilikuaje
Ungeshuka uwaulize😂😂😂😂
 
Umenifanya ni cheke sana. Wewe ni boya, Huyo manzi ata kuona wewe ni mwanaume dhaifu na boya maisha yake yote. [emoji23][emoji23]
😁😁😁 sasa ungekuwa wewe ndo me ungebaki au mapenz ayo ya kujifanya mwamba yapo kwenye movie za wahindi tu
 
Back
Top Bottom