hahaha always done
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 1,126
- 1,973
Kila mwanadamu ana hisia ngumu anazopambana nazo,Mungu anaangalia moyo sio avatar
Hapana mdau siko hivyo mimi ni mstaarabu sanaKila mwanadamu ana hisia ngumu anazopambana nazo,
Unaweza kuwa na matendo mema,as matokeo ya kushindana na hisia zako mbaya za ndani, ila rohon uyatakayo ni kinyume na unayotenda,ila ishara Huwa Zina reveal ur hidden part of ur soul, , , ,hiyo avatar inawasilisha watu wenye kiburi, chuki na superiority,, huwapi nafasi wanaokuzidi maendeleo(chuki na wivu) , ila unapenda kuwa wa kwanza ktk Kila kitu, ,,,. Najua inamaanisha Nini katika maana rahisi,ila saikolojia yake Iko hivo,,
samahani nazungumzia hiyo alama na hasa inapopendwa na muhusika akiwa hajauziwa au kuchukizwa ,zipo nyingi zinazosema Tabia zetu
Wewe unadhani ni jambo la kawaida wasahihishaji zaidi ya ishirini wote wakashindwa kung'amua kwamba huyu mtu mwenye matokeo siyo mhusika?...???Mkuu,
Hapo hata wasahihishaji wakikosea na kukupa matokeo mazuri ya mtu mwingine tu, tayari kwako ishatosha kuthibitisha Mungu yupo?
Hata kama si jambo la kawaida, kitu kuwa jambo lisilo la kawaida sio uthibitisho kwamba ni kazi ya Mungu.Wewe unadhani ni jambo la kawaida wasahihishaji zaidi ya ishirini wote wakashindwa kung'amua kwamba huyu mtu mwenye matokeo siyo mhusika?...???
Barikiwa sanaHapana mdau siko hivyo mimi ni mstaarabu sana