Tukio gani limewahi kukutokea mpaka ukajisemea kweli Mungu yupo?

Mungu anaangalia moyo sio avatar
Kila mwanadamu ana hisia ngumu anazopambana nazo,
Unaweza kuwa na matendo mema,as matokeo ya kushindana na hisia zako mbaya za ndani, ila rohon uyatakayo ni kinyume na unayotenda,ila ishara Huwa Zina reveal ur hidden part of ur soul, , , ,hiyo avatar inawasilisha watu wenye kiburi, chuki na superiority,, huwapi nafasi wanaokuzidi maendeleo(chuki na wivu) , ila unapenda kuwa wa kwanza ktk Kila kitu, ,,,. Najua inamaanisha Nini katika maana rahisi,ila saikolojia yake Iko hivo,,

samahani nazungumzia hiyo alama na hasa inapopendwa na muhusika akiwa hajauziwa au kuchukizwa ,zipo nyingi zinazosema Tabia zetu
 
2003,nilinusurika kifo wakati navuka barabara maeneo ya ghana mwanza,wakati natoka shule(Taqwa)
 
Kila mwanadamu ana hisia ngumu anazopambana nazo,
Unaweza kuwa na matendo mema,as matokeo ya kushindana na hisia zako mbaya za ndani, ila rohon uyatakayo ni kinyume na unayotenda,ila ishara Huwa Zina reveal ur hidden part of ur soul, , , ,hiyo avatar inawasilisha watu wenye kiburi, chuki na superiority,, huwapi nafasi wanaokuzidi maendeleo(chuki na wivu) , ila unapenda kuwa wa kwanza ktk Kila kitu, ,,,. Najua inamaanisha Nini katika maana rahisi,ila saikolojia yake Iko hivo,,

samahani nazungumzia hiyo alama na hasa inapopendwa na muhusika akiwa hajauziwa au kuchukizwa ,zipo nyingi zinazosema Tabia zetu
Hapana mdau siko hivyo mimi ni mstaarabu sana
 
Mkuu,

Hapo hata wasahihishaji wakikosea na kukupa matokeo mazuri ya mtu mwingine tu, tayari kwako ishatosha kuthibitisha Mungu yupo?
Wewe unadhani ni jambo la kawaida wasahihishaji zaidi ya ishirini wote wakashindwa kung'amua kwamba huyu mtu mwenye matokeo siyo mhusika?...???
 
Hata kama si jambo la kawaida, kitu kuwa jambo lisilo la kawaida sio uthibitisho kwamba ni kazi ya Mungu.

That is a non sequitur logical fallacy.

Inawezekana kuna maelezo mengine tu ambayo huyajui.

Inabidi uthibitishe kwamba Mungu yupo, na hiyo ni kazi ya Mungu.

Hujathibitisha hilo. Unafanya assumption ya kizembe tu kwamba kitu usichokielewa lazima kitakuwa ni kazi ya Mungu tu.
 
Back
Top Bottom