Tukio gani ulishawahi kufanya ukahakikisha umemfundisha mtu adabu?

Naona hii ya kudinya ndugu wa aliyekutenda inatumika sana. Vipi uliendelea na mahusiano na mdogo mtu, au ulipita naye kwa ajili ya kisasi tu?
 
alinizunguka akamtongoza rafki angu akanisema vibaya, na mimi nikajitahidi mpka nikampata mzee wake na hivi mzee wake ni wale wazee watanashart, smart na ambao hawataki kuzeeka saiv mimi ni mamdogo wake, nikamwambia mzee wake amfukuze nyumbani akaanze maisha ya kujitegemea huko maana yeye ni wa kiume asisubiri kutafuniwa and guess wat mzee alinielewa,,

nahisi kila akiniona au kusikia jina langu analaani maana sio kwa kuchanganyikiwa kule na bado sijaishia hapo nasubiri akae sawa apate mwanamke mwingine nimdinyie kwa dildo😅😅😅😅😅,,,

yoyoyoy am just thinking siku mtoto wa mama mkwe anifanyie huo upuuzi nilipize niki kisasi
 
Mi Kuna mtu aliniletea shida sana kuanzia kazini, familia mpaka biashara.
Mtu huyu alisababisha Mimi na familia yangu tuanze from the scratch.
Nitaelezea huku nachana page kuepusha mambo Mengine.

Maisha yalikuwa mazuri tu katika mji mmoja wa mpakani,,, niseme kiufupi familia ilikuwa na uwezo imejiimalisha kibiashara na kiuchumi katika umri ule mdogo wa kati.

Huyu best na mume wake tuliwapokea.
Sasa katika kazi na biashara.
Shost nilimfundisha baadhi ya vitu visivyohitaji mtaji makubwa kwenye magari lakini unaweza ingiza pesa zaidi ya elfu 30 kwa siku.
Sasa kwa wakati huo haya magari ya transit yalikuwa yakifika hapo ilikuwa ni lazima yaripoti kwenye ofisi yetu na tunawapatia pesa ya kuvukia.
Hili dili tukipata kupitia ofisi yetu ya kuuza spare. Ambapo matajiri walisikia sifa na utendaji wa kazi na walikuja kuomba tuwe partner.
Basi kupitia hapo tuliweza kupata gari sitaitaja kwa ajiri ya patrol.

Kisa chenyewe.
Babaa Ismail mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi.
Tulifanikisha kufanya dili moja hapo kwenye mgodi mmoja mkubwa na kuweza kubadili kontena halisi na kuweka ziro contena.
Bwanae rafiki yangu yule alijua baadhi ya details alipiga simu na kumueleza yule muhindi aisee!!!!!¡.
Nakumbuka mwarabu alifika alfajiri....... Weweee sijawahi kukamatwa vileeee!!!!!!
Yaaani!¡! Haitaki maelezo wala kesi anahitaji fidia yake ... Na kumbuka hapo Kuna baadhi ya truck zilishawahi kufika huko na mchanga wa kujengea nyumba😂😂😂
Bwana nyumba iliuzwa,,, viwanja viliuzwa,,pikipiki, gari wajomba walituchangia ndio kidogo mwarabu kukaa mezani na kuandika mkataba.
Shost anajidai kunipa pole mamaayo zake msengerama yule.

Kenge akasema anahitaji kumpuzisha kichwa......
Alienda kulima mpunga huko mpanda mi nilibaki kumbuka ofisi spare zoote ziliuzwa!!!!!
Nilianza moja kutumia uzoefu na vijana pia Kuna madereva waliipenda sana ile movie ilivyoenda walikuwa wanaotumia sana vijana wangu wakihitaji huduma ya grisi.

Mbwa yule nilichomfanya.

Nilienda kushtaki kwa bibi yangu.
Aliniagiza nipate utumbo uliolala kwenye butcher yaani uliobaki na maini yaliyooza.
Tulimu ozesha tumbo akiwa hai n
Aisee yule dada sikutaka afe nilitaka apitie nilichopitia .
mimi mtu akinikosea pakubwa siwezi kumuacha hata kidogo.
Kiufupi yule mpaka Leo anaumwa ni miaka kumi sasa!!!! Hospitali zote na hapo jirani kafika na hajapata tiba.. kwa waganga wamemlia pesa mpka kaoka kwa manabii wote kafika unaowasikia lakini Bado.
Operation kafanyiwa za kutosha na bado na akifanyiwa wanatoka wadi
Nilihitaji ateseke na kudhalilika kama alivyotesa familia yangu.

Maisha na mwarabu
Mwarabu alirogwa na kesi iliishia hapo,, baba Ismail na sisi ilibidi tutulie kabisa kuepusha viashiria vyovyote vile. Baada ya miaka miwili inshu yetu tukaimalizia.

NB;
Kuhusu bibi yangu mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi alishafariki miaka sita sasa. Na sina connection yoyote ya mganga.

Maelezo kidogo.
Watakao guna hapa ni aidha waache unafki au Bado hayajawakuta.
Pia Kuna wengine maisha kwao ni soft hawajawahi kukutana na misuko suko.

Africa ili uweze kumiliki ulichonacho ni lazima uwe bandidu,, katili, roho mbaya.
Usivyomiliki hivyo utaishia kupata mafanikio ya kawaida sana.
 
hapo tu unatukanaga daah ila mpk sasa niliamua dili naloweza kulimaster namaliza mwenyewe, lkn sio hawa watu wanaokuzunguka wabaya sana
 
Ujue waswahili ni watu wajinga sana, sijui umaskini, akili mbaya au roho mbaya sielewi, kuna ile mtu kwasababu mmekuwa nae miaka anahisi anakufahamu in and out au anahisi wa miaka 10 nyuma bado upo vile vile hajui shilingi ina pande mbili, alafu ile mtu kujuana na watu flani anaona yupo on top ya kila mtu. Na kuna kipindi namuonea huruma, ila acha akacheze mjini, kuna ile unaambiwa ukionekana umeisha ndio anatembea nayo kwenye akili 😁😁..

haya maisha watu tuishi wa kuheshimiana, kama mtu au maisha ya mtu hayakuhusu pita hivi na yule apite kule, kuna kitu nilijifunza kwa Mwanasiasa mmoja hivi yule mtu anaweza akakuweka moyoni hata miaka 5 na anakuwa anakuchekea tu kumbe anakulia timing akunyongee mbali, ila ni mtu wa amani sana na mwenye upendo ila usivuke mstari mwekundu wake
 
Nipo hapa😊😔
 
Unasoma Charambe, unakaa Mbagala Kuu. Mnazi mmoja imefata nini kwenye huu mjadala.
Tulikuwa tunakwenda kusalimia wasichana wenzetu wanasoma Mtendeni Primary, pale mnazi mmoja.
Tatizo vijana wa leo mmekariri maisha.
Zamani Mwanafunzi Darasa la kwanza, unatoka Mbagala, unaenda mnazi mmoja, mnaenda kinondoni kufuata mabuyu-kule kinondoni kwa Pinda, mnarudi karume kununua chupi za mtumba alafu baadae jioni mnarudi nyumbani.
 
Nimejifunza kumbe mwanamke usimpende sanaaa, ila mthamini tu na usitegemee uwepo wake.

Ukimpenda unakuwa mtumwa wake na atakuacha.

Ukimthamin na ukawa tiari kumpoteza, atakupenda na atabaki.

Ila sijui kwanin inakuwa hivi.

Mdada usiemzingatia sana ndo atakuganda.

Na unaempenda atakudharau
 
wewe ni mdada kumbe,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…