Tukio gani ulishawahi kufanya ukahakikisha umemfundisha mtu adabu?

Hii ndio Revenge.
 
Pole bro nimeumia sana, ila MUNGU mkubwa haki Yako haipoeti msamehe endelea na maisha
 
Wewe nikikukuta mbinguni natoka naenda motoni 😑🤣🤣🤣🤣
 
Yu kijeba *** alot

Vile early in 90s niliendanga kwa bush vile father left early than that

Vile nimeenda bush mboga Saba causin asking me to fish den after upuuzi tunakurud homii

So mother save me lunch and scoby guy join.! I ask why yu go toovhomee save yourself.!https://www.jamiiforums.com/forums/-/create-thread

Hiyo ni kitu siwezi sahau nilikosega sana. Ile too sana na msamaha naomba Jf 🤗
 
Siyo poa😀😀😀😀

Na nilikuwaga namweleza kwa uzuri tu unachofanya siyo sawa..Akaona ananimudu sana...

Siku isiyokuwa na jina ikawadia....Aloooooh😄
Tusio na maneno mengi watu hutuchukulia poa sana🤣
 
Hii ndiyo namna bora kabisa ya kulipiza kisasi, ni kumtendea wema mkubwa wenye lengo la kumfundisha kwamba anapoteza mtu au kitu cha thamani maishani mwake kwa ujinga na roho yake mbaya,
 
Nikilewa mniache naona umekumbuka enzi zako siku ya ubarikio, unapiga tukio ukiwa umevaa nguo, cha kusimama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…