Tukio gani ulishawahi kufanya ukajiona mshamba sana?

Hiyo ya tea bags hata mimi iliwahi kunikuta πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii yako inafanana na yangu, me hadi leo sina interested na mpira, sio kucheza wala kushabikia.

Nilikuwa shule ya msingi, mtaani kwetu panaanzishwa timu mpira wa gozi, sasa wanacheza kinamba, me nikaulizwa nacheza namba ngapi, wakati natafakari(maana nilikuwa sijui) kuna jamaa akaninong'oneza namba 13, halafu na mimi nikaropoka namba 13 .
Asee nilichekwa mpaka nikapewa jina namba 13
 
Hakuna ushamba unaoniuma sana na kunipa hasira kama kipindi nabalehe ... Kuna demu alikuaga ananichekea chekea sana yeye alisha balehe siku moja tukaenda chemchem kuchota maji na mm nkajisemea acha nikaogelee kidogo .. ile naelekea huko demu alinifata akanambia nikamdakie mpanzi .... Ananionyesha njoo huku njoo huku kufika katikati ya kichaka gafla akavua chupi na kujilaza chini huku katanua mapaja akanambia nataka uniwekee kama baba anavyomwekeaga mama alafu analia.. kweli ile siku sikujua hata inawekwaje ananambia njoo kwa juu nilalie alafu niwekee mkia sielewi na bakia kumlalia mpaka alipo chukia na kunisukumia huko.


Nimekuja kupata akili nikamtafutaga akawa ananizingua hataki ananambia bahati haiji mara mbili.. hakika iliniuma hadi leo hii nimeoa ila siwezi kusahau na hasira sana moyoni na hasira hizi ndiyo ninazo zitumia kutembeza rungu kwa mabinti na wa mama mpaka uchungu unitoke sitokaa niache kuwala labda wao wanile mimi nyama yule binti sahivi ni mmama na kila nikikutana nae ananitania kwamba nilikua mtoto sana japo na jaribu kumshawishi anitanulie tena ila anaishia kucheka tuu, asee ipo siku akijichanganya nitamla na hakika nit@mfir@ mpaka moyo wangu uondoe machungu ya utotoni.


Nilikua mshamba sana kipindi na balehe najilaumugi mno
 
[emoji1787]namba 13 shabiki sio
 
Sitasahau, Schiphol airport 2010, nimeenda kununua chai, wakanipa kikombe empty na biodegradable tea bag empty (haina majani ndani) halafu wakanielekeza kwenye counter nifanye self service. Kulikua na mashine sijui kuitumia ilinichukia kama 5 minutes ya kuangalia wengine wanavyofanya kufigure out namba ya kupata maji ya moto na majani gani niweke kwenye kile kitea bag kupata black tea. Baada ya hapo kwa hasira niliitupa ile chai kwenye bin kwa sababu hamu yote iliniisha baada ya kadhia na aibu ile ya kuhangaika kujitengenezea chaiπŸ™ƒπŸ€¦πŸ½β€β™€οΈ
 
[emoji1787]tea bag zimewakamata wengi mambo ya chai
 
Hukuwa na Chai bora ile ya sh 100 mfukoniii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hizo mambo weza zuga unaongea na simu kumbe ushamba mzigo πŸ˜€πŸ˜€

Sasa hivi ushakuwa master naona πŸ˜‚
 
[emoji1787]tea bag zimewakamata wengi mambo ya chai
Acha tu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… nilikua najua kutumia tea bag za kawaida ila sikuwahi kuona tea bag empty yani haina majani ndani, wewe ndo unaenda kujichagulia majani gani uweke halafu unakafunga ndiyo unatia kwenye maji moto. Siku hiyo nilijiona mshamba sana πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…