The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Niliweka viatu kwenye Friji nikijua ni kabati la Viatu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah noma sana.😀 😀 haha nakumbuka nilikua nikikuta teacher naomba kuingia class, nasema
Pitisha mageti (please teacher may I get in)
haha 😀 😀 😀 I go to nawalingHahahah noma sana.
Tulikua na teacher Mganda alipewa somo la Bible. Sasa mle class lile somo wengi walikua hawalielewi. Wakabuni mbinu unajifanya unaenda kufuta ubao halafu unazuga nje unaenda kunawa mikono unapotelea hukohuko.
Siku hiyo ubao mmoja ulikua unafutwa na watu watatu wote wanataka kutoka nje.
Teacher yuko busy kutambulisha mada ya siku husika. Wa kwanza akatoka, wapili akatoka, watatu anataka kutoka teacher akageuka ndio kamkuta mlangoni.
Yule jamaa bahati mbaya lugha haipandi vizuri. "Where are you going?!". Anaonyesha ishara ya kusugua mikono kwamba anaenda kunawa. Huku back bencher wanaomjua yule jamaa wakiimba kibwagiza cha Nura Lugha Gongana. ambu mbu mbali eeh ah ah mbaa...
Alichezea mambata.
Duh. Wakati uko secondary na Whatsapp ipo???😂🤣🤣🤣🤣🤣....kipindi flani mimi mshamba wa wanawake sekondari huko
natongoza binti flani whatsapp akanichomolea basi nikamwambia 'please let's be friends'
akascreenshot ile chat akaiweka status na emoji ya kicheko
aisee niliumia hakuna mfano aisee.
Kuna wadogo zakoDuh. Wakati uko secondary na Whatsapp ipo???😂🤣🤣🤣🤣🤣....
Whatsap imeanzishwa.2009...
Tanzania sijajua imekuwa popular lini....
mshamba_hachekwi 😂🤣kipindi flani mimi mshamba wa wanawake sekondari huko
natongoza binti flani whatsapp akanichomolea basi nikamwambia 'please let's be friends'
akascreenshot ile chat akaiweka status na emoji ya kicheko
aisee niliumia hakuna mfano aisee.
Unasoma secondary WhatsApp ipo?kipindi flani mimi mshamba wa wanawake sekondari huko
natongoza binti flani whatsapp akanichomolea basi nikamwambia 'please let's be friends'
akascreenshot ile chat akaiweka status na emoji ya kicheko
aisee niliumia hakuna mfano aisee.
Sio dhambi.Unasoma secondary WhatsApp ipo?
Nakubali siyo dhambi.Sio dhambi.
Ni muda sasa JF iachane na baguzi/kejeli za kiumri(ageism).
Hili ni jukwaa huru, kila mmoja ana haki ya kuchangia bila kuzodolewa.
Mkuu tupo kwenye majoziWe braza ni mshamba sana 😂😂.
Ushamba ni pamoja na kutokua na akili ya kujiongeza na kutojua mambo kadhaa madogo lakini muhimu.
Mimi nikiwa kidato cha kwanza bibi yangu alinipa kadi nikatoe pesa ATM, akanipa na namba ya siri ilhali sijui wala sijawahi kuingia ATM. Kwa udogo wangu wa umri na umbo hata sikuhangaika kuwauliza walinzi nilijua tu wanganisumbua na maswali kibao.
Nikazama ndani, ile kufika nikaichomeka kadi (nikafanikiwa bila bugdha) nikafarijika baada ya kuona kumbe kuna instructions kabisa, nikazifata mpaka nikatoa hela.
Kikwazo kikawa bi mkubwa alikua anataka kutoa laki 3, na mimi nikawa nimetoa laki mbili then laki moja.
Nikiwa pale pale akapiga simu kua kwanini natoa hela mala nyinginyingi namna hiyo wakati huo sijui kua kuna option ya kutype na kutoa kiasi unachotaka, nikajitetea ni mtandao na akaelewa.
Ila thanks to her, nilimaster mambo ya kibenki nikiwa mdogo kabisa, nikiwashangaza wenzangu kina Poor Brain na Intelligent businessman nilipofika advance level pale walipotumiwa pesa na ndugu zao kwa njia ya kibenki na hawajui kutumia ATM na benki wanaogopa kuingia.