Tukio gani ulishawahi kufanya ukajiona mshamba sana?

😀 😀 haha nakumbuka nilikua nikikuta teacher naomba kuingia class, nasema
Pitisha mageti (please teacher may I get in)
Hahahah noma sana.

Tulikua na teacher Mganda alipewa somo la Bible. Sasa mle class lile somo wengi walikua hawalielewi. Wakabuni mbinu unajifanya unaenda kufuta ubao halafu unazuga nje unaenda kunawa mikono unapotelea hukohuko.

Siku hiyo ubao mmoja ulikua unafutwa na watu watatu wote wanataka kutoka nje.

Teacher yuko busy kutambulisha mada ya siku husika. Wa kwanza akatoka, wapili akatoka, watatu anataka kutoka teacher akageuka ndio kamkuta mlangoni.

Yule jamaa bahati mbaya lugha haipandi vizuri. "Where are you going?!". Anaonyesha ishara ya kusugua mikono kwamba anaenda kunawa. Huku back bencher wanaomjua yule jamaa wakiimba kibwagizo cha Nura Lugha Gongana. ambu mbu mbali eeh ah ah mbaa...

Alichezea mambata.
 
Hahahah noma sana.

Tulikua na teacher Mganda alipewa somo la Bible. Sasa mle class lile somo wengi walikua hawalielewi. Wakabuni mbinu unajifanya unaenda kufuta ubao halafu unazuga nje unaenda kunawa mikono unapotelea hukohuko.

Siku hiyo ubao mmoja ulikua unafutwa na watu watatu wote wanataka kutoka nje.

Teacher yuko busy kutambulisha mada ya siku husika. Wa kwanza akatoka, wapili akatoka, watatu anataka kutoka teacher akageuka ndio kamkuta mlangoni.

Yule jamaa bahati mbaya lugha haipandi vizuri. "Where are you going?!". Anaonyesha ishara ya kusugua mikono kwamba anaenda kunawa. Huku back bencher wanaomjua yule jamaa wakiimba kibwagiza cha Nura Lugha Gongana. ambu mbu mbali eeh ah ah mbaa...

Alichezea mambata.
haha 😀 😀 😀 I go to nawaling
 
kipindi flani mimi mshamba wa wanawake sekondari huko

natongoza binti flani whatsapp akanichomolea basi nikamwambia 'please let's be friends'

akascreenshot ile chat akaiweka status na emoji ya kicheko

aisee niliumia hakuna mfano aisee.
Duh. Wakati uko secondary na Whatsapp ipo???😂🤣🤣🤣🤣🤣....
Whatsap imeanzishwa.2009...
Tanzania sijajua imekuwa popular lini....
 
We braza ni mshamba sana 😂😂.
Ushamba ni pamoja na kutokua na akili ya kujiongeza na kutojua mambo kadhaa madogo lakini muhimu.

Mimi nikiwa kidato cha kwanza bibi yangu alinipa kadi nikatoe pesa ATM, akanipa na namba ya siri ilhali sijui wala sijawahi kuingia ATM. Kwa udogo wangu wa umri na umbo hata sikuhangaika kuwauliza walinzi nilijua tu wanganisumbua na maswali kibao.

Nikazama ndani, ile kufika nikaichomeka kadi (nikafanikiwa bila bugdha) nikafarijika baada ya kuona kumbe kuna instructions kabisa, nikazifata mpaka nikatoa hela.

Kikwazo kikawa bi mkubwa alikua anataka kutoa laki 3, na mimi nikawa nimetoa laki mbili then laki moja.

Nikiwa pale pale akapiga simu kua kwanini natoa hela mala nyinginyingi namna hiyo wakati huo sijui kua kuna option ya kutype na kutoa kiasi unachotaka, nikajitetea ni mtandao na akaelewa.

Ila thanks to her, nilimaster mambo ya kibenki nikiwa mdogo kabisa, nikiwashangaza wenzangu kina Poor Brain na Intelligent businessman nilipofika advance level pale walipotumiwa pesa na ndugu zao kwa njia ya kibenki na hawajui kutumia ATM na benki wanaogopa kuingia.
 
Mkuu tupo kwenye majozi
 
Back
Top Bottom