anatetea ujingaKitendo cha kutupa ngumi tu kinamtia hatiani.
ulikua kwenye benchiNilikuwepo amepigwa
Matumizi mabaya ya neno kizuiziniNilitaka niposti kwenye jukwaa la michezo ila kwa hili lililotokea lina kipaumbele cha amani tuliyonayo kutiwa doa kuzidi sheria za mpira,
Kuna timu kutokea Kigoma inaitwa Mashujaa, leo walikuwa wanacheza mechi yao ya mwisho dhidi ya Mbeya City kufuzu kuingia rasmi kwenye ligi kuu, Mechi imechezwa uwanja wa Sokoine Mbeya.
Timu ya mashujaa ilipofunga goli wakati wakiwa wanashangilia wakapita sehemu ya wapinzani wao kushangilia kwa kuwatambia na ni kawaida tumeshazoea, ila ghafla bin vu! kocha wa makipa wa mashujaa akampiga ngumi nzito ya usoni kocha mkuu wa Mbeya city, Jambo hili lilipelekea kocha wa Mbeya city kutoweza kuinuka kwa dakika kadhaa huku akiwa anapewa huduma ya kwanza.
yule kocha wa makipa wa mashujaa kapewa kadi nyekundu tu.
Adhabu ya uwanjani kashapewa ni vema sasa na vyombo vya ulinzi na sheria viingilie kati.
Mapendekezo.
Kwa kuwa nchi yetu ni ya amani na vitendo hivi havina mwanya wa kuzoeleka, hatua hizi zichukuliwe iwe fundisho wengine wasije kuthubutu.
Suala hili lina kipaumbele cha amani kuliko mambo ya kimpira kushuka daraja, timu inaweza kushuka daraja na kupanda lakini mtu kushambuliwa hivi anaweza kupoteza maisha hakuna kufufuka ama kuwa kilema moja kwa moja na jicho lisiweze kuona tena.
- Atafutwe haraka awekwe chini la ulinzi pale central ya polisi Mbeya
- ahamishwe mahabusu kusubiri kusomewa kesi
- asomewe mashtaka mahakamani, adhabu iwe faini ya matibabu ya kocha mkuu isiyopungua milioni 2, viboko 10 na afungwe gerezani kifungo kisichopungua mwaka 1.
- Kwa upande wa TFF nao wasiwe nyuma, wamfungie walau miaka mitano
View attachment 2667804
Mshamba wewe ko hata wakiua kwa kupiga ngumi haiingiliiMambo ya mpira serikali (police) haingilii, ndo kanuni za Fifa hizo
Adhabu za TFF zinaambatana na pesa. Hapo atalimwa faini ya shilingi laki tano na kufungiwa mechi tatu au zaidi.Mimi mwenyewe sioni kama aliweza kumpata ila kosa la kurusha ngumi tu tayari anastahili adhabu.
Ikifika kama milioni 3 itapendeza zaidi. Wakipigwa adhabu yenye maumivu watajipanga wawaondoe wahuni kama hao wasiendelee nao katika ligi kuu.Adhabu za TFF zinaambatana na pesa. Hapo atalimwa faini ya shilingi laki tano na kufungiwa mechi tatu au zaidi.
Hiyo ni hasara kwa klabu yake, watakapocheza mechi yoyote itabidi mapato yao ya mlangoni yapunguzwe kwa shilingi laki tano. Na uongozi makini wa timu ya mpira unatakiwa umkate mshahara wake kufidia hiyo pesa watakayolipishwa na TFF kama faini.
Mambo ya mpira serikali (police) haingilii, ndo kanuni za Fifa hizo
TFF wazee wa makomeo tena😂😂😂😂Hapo mtu atapigwa bonge moja la solex mpaka Aseme haleluyaaaaHili halipti bure subirini rungu zito sana la TFF muda sio mrefu
Huyu mvuta bangi hata kama atafumbiwa macho, bado anastahili kabisa kufungiwa maisha kujishughulisha na mchezo wa soka kwa zile ngazi rasmi.Nilitaka niposti kwenye jukwaa la michezo ila kwa hili lililotokea lina kipaumbele cha amani tuliyonayo kutiwa doa kuzidi sheria za mpira,
Kuna timu kutokea Kigoma inaitwa Mashujaa, leo walikuwa wanacheza mechi yao ya mwisho dhidi ya Mbeya City kufuzu kuingia rasmi kwenye ligi kuu, Mechi imechezwa uwanja wa Sokoine Mbeya.
Timu ya mashujaa ilipofunga goli wakati wakiwa wanashangilia wakapita sehemu ya wapinzani wao kushangilia kwa kuwatambia na ni kawaida tumeshazoea, ila ghafla bin vu! kocha wa makipa wa mashujaa akampiga ngumi nzito ya usoni kocha mkuu wa Mbeya city, Jambo hili lilipelekea kocha wa Mbeya city kutoweza kuinuka kwa dakika kadhaa huku akiwa anapewa huduma ya kwanza.
yule kocha wa makipa wa mashujaa kapewa kadi nyekundu tu.
Adhabu ya uwanjani kashapewa ni vema sasa na vyombo vya ulinzi na sheria viingilie kati.
Mapendekezo.
Nchi yetu ni ya amani, vitendo hivi visipewe mwanya wa kuzoeleka, hatua hizi zichukuliwe iwe fundisho wengine wasije kuthubutu.
- TFF imfungie miaka mitano kutojihusisha na mpira
- Asakwe na kukuwekwa mahabusu
- Acharazwe viboko 10
- Amlipe faini mhanga.
- Kifungo cha miezi 6 Jela
Michezo sio uhasama wala vurugu, Tabia kama hizi zisipewe nafasi ya kuchipuka.
View attachment 2667804
Ni kufungiwa maisha kama wakina Manara yule jamaa jinga kabisa mimi nilikua nataka Kigoma Timu ipande na Mbeya City ishuke kwa sababu ya sheria mbovu ya TFF kushindanisha madaraja mawili tofauti yaani hizi za kina Mbeya City zinafanya vibaya ila hazishuki kwa sababu ya kijisheria cha play off cha tff...Umeandika sana ila masuala ya michezo hayapelekwi polisi kama ulivyotushawishi hapo..ndiyo imeisha hiyo..ugulieni tu maumivu ya kushuka daraja.
Mkuu ile ni timu ya JWTZ, wanajeshi wanapenda violence, ukishangaa unakula za kutosha[emoji3]Mbeya mmetuangusha, mnapigwaje na watu wanaoaminika kuwa washamba kuliko mtu yeyote Tanzania?
Duuuu! Hata jinai ikitokea michezoni haiendi polisi?Umeandika sana ila masuala ya michezo hayapelekwi polisi kama ulivyotushawishi hapo..ndiyo imeisha hiyo..ugulieni tu maumivu ya kushuka daraja.
Acha dharau dogo unafikili kigoma anatoka mzembe jaribu uone kitakachokukuta, haya mambo ni temper za mchezo kigoma tungekuwa washamba tusingekuwa tunatoa vipaji Bora vya mpira na Sanaa. Jifunze heshima au tukuadabishe kama mama yako hakukulea vizuri.Mbeya mmetuangusha, mnapigwaje na watu wanaoaminika kuwa washamba kuliko mtu yeyote Tanzania?