Tukio hili la leo si la kupuuzia, Mhusika awekwe kiuzuizini, alipe faini ya milioni 2 na kifungo kisichopungua miaka 2

Tukio hili la leo si la kupuuzia, Mhusika awekwe kiuzuizini, alipe faini ya milioni 2 na kifungo kisichopungua miaka 2

Timu za majeshi huwa HAZINA NIDHAMU michezoni tutarajie kuona ujinga zaidi ya huu. Halafu mbona kocha aliepigwa kajiangusha KISANII SANA. mwanaume kangumi hako tuu. Kwanza kapigwa ka ngumi halafu karudi nyuma vizuri tuu. Kapiga magoti halafu kalaaaalllaaaaa. BUMBAFU WOTE.
 
Matumizi
Nilitaka niposti kwenye jukwaa la michezo ila kwa hili lililotokea lina kipaumbele cha amani tuliyonayo kutiwa doa kuzidi sheria za mpira,

Kuna timu kutokea Kigoma inaitwa Mashujaa, leo walikuwa wanacheza mechi yao ya mwisho dhidi ya Mbeya City kufuzu kuingia rasmi kwenye ligi kuu, Mechi imechezwa uwanja wa Sokoine Mbeya.

Timu ya mashujaa ilipofunga goli wakati wakiwa wanashangilia wakapita sehemu ya wapinzani wao kushangilia kwa kuwatambia na ni kawaida tumeshazoea, ila ghafla bin vu! kocha wa makipa wa mashujaa akampiga ngumi nzito ya usoni kocha mkuu wa Mbeya city, Jambo hili lilipelekea kocha wa Mbeya city kutoweza kuinuka kwa dakika kadhaa huku akiwa anapewa huduma ya kwanza.

yule kocha wa makipa wa mashujaa kapewa kadi nyekundu tu.

Adhabu ya uwanjani kashapewa ni vema sasa na vyombo vya ulinzi na sheria viingilie kati.

Mapendekezo.

Kwa kuwa nchi yetu ni ya amani na vitendo hivi havina mwanya wa kuzoeleka, hatua hizi zichukuliwe iwe fundisho wengine wasije kuthubutu.

  • Atafutwe haraka awekwe chini la ulinzi pale central ya polisi Mbeya
  • ahamishwe mahabusu kusubiri kusomewa kesi
  • asomewe mashtaka mahakamani, adhabu iwe faini ya matibabu ya kocha mkuu isiyopungua milioni 2, viboko 10 na afungwe gerezani kifungo kisichopungua mwaka 1.
  • Kwa upande wa TFF nao wasiwe nyuma, wamfungie walau miaka mitano
Suala hili lina kipaumbele cha amani kuliko mambo ya kimpira kushuka daraja, timu inaweza kushuka daraja na kupanda lakini mtu kushambuliwa hivi anaweza kupoteza maisha hakuna kufufuka ama kuwa kilema moja kwa moja na jicho lisiweze kuona tena.

View attachment 2667804
Matumizi mabaya ya neno kizuizini
 
Mambo ya mpira serikali (police) haingilii, ndo kanuni za Fifa hizo
 
Mimi mwenyewe sioni kama aliweza kumpata ila kosa la kurusha ngumi tu tayari anastahili adhabu.
Adhabu za TFF zinaambatana na pesa. Hapo atalimwa faini ya shilingi laki tano na kufungiwa mechi tatu au zaidi.

Hiyo ni hasara kwa klabu yake, watakapocheza mechi yoyote itabidi mapato yao ya mlangoni yapunguzwe kwa shilingi laki tano. Na uongozi makini wa timu ya mpira unatakiwa umkate mshahara wake kufidia hiyo pesa watakayolipishwa na TFF kama faini.
 
Ikifika kama milioni 3 itapendeza zaidi. Wakipigwa adhabu yenye maumivu watajipanga wawaondoe wahuni kama hao wasiendelee nao katika ligi kuu.
 
Hiyo Ngumi hakukusudia impate huyo kocha. Ni bahati mbaya kocha alisogezea uso Ngumi.
 
Nilitaka niposti kwenye jukwaa la michezo ila kwa hili lililotokea lina kipaumbele cha amani tuliyonayo kutiwa doa kuzidi sheria za mpira,

Kuna timu kutokea Kigoma inaitwa Mashujaa, leo walikuwa wanacheza mechi yao ya mwisho dhidi ya Mbeya City kufuzu kuingia rasmi kwenye ligi kuu, Mechi imechezwa uwanja wa Sokoine Mbeya.

Timu ya mashujaa ilipofunga goli wakati wakiwa wanashangilia wakapita sehemu ya wapinzani wao kushangilia kwa kuwatambia na ni kawaida tumeshazoea, ila ghafla bin vu! kocha wa makipa wa mashujaa akampiga ngumi nzito ya usoni kocha mkuu wa Mbeya city, Jambo hili lilipelekea kocha wa Mbeya city kutoweza kuinuka kwa dakika kadhaa huku akiwa anapewa huduma ya kwanza.

yule kocha wa makipa wa mashujaa kapewa kadi nyekundu tu.

Adhabu ya uwanjani kashapewa ni vema sasa na vyombo vya ulinzi na sheria viingilie kati.

Mapendekezo.

Nchi yetu ni ya amani, vitendo hivi visipewe mwanya wa kuzoeleka, hatua hizi zichukuliwe iwe fundisho wengine wasije kuthubutu.

  • TFF imfungie miaka mitano kutojihusisha na mpira
  • Asakwe na kukuwekwa mahabusu
  • Acharazwe viboko 10
  • Amlipe faini mhanga.
  • Kifungo cha miezi 6 Jela

Michezo sio uhasama wala vurugu, Tabia kama hizi zisipewe nafasi ya kuchipuka.

View attachment 2667804
Huyu mvuta bangi hata kama atafumbiwa macho, bado anastahili kabisa kufungiwa maisha kujishughulisha na mchezo wa soka kwa zile ngazi rasmi.
 
Umeandika sana ila masuala ya michezo hayapelekwi polisi kama ulivyotushawishi hapo..ndiyo imeisha hiyo..ugulieni tu maumivu ya kushuka daraja.
Ni kufungiwa maisha kama wakina Manara yule jamaa jinga kabisa mimi nilikua nataka Kigoma Timu ipande na Mbeya City ishuke kwa sababu ya sheria mbovu ya TFF kushindanisha madaraja mawili tofauti yaani hizi za kina Mbeya City zinafanya vibaya ila hazishuki kwa sababu ya kijisheria cha play off cha tff...
 
Umeandika sana ila masuala ya michezo hayapelekwi polisi kama ulivyotushawishi hapo..ndiyo imeisha hiyo..ugulieni tu maumivu ya kushuka daraja.
Duuuu! Hata jinai ikitokea michezoni haiendi polisi?
 
Mbeya mmetuangusha, mnapigwaje na watu wanaoaminika kuwa washamba kuliko mtu yeyote Tanzania?
Acha dharau dogo unafikili kigoma anatoka mzembe jaribu uone kitakachokukuta, haya mambo ni temper za mchezo kigoma tungekuwa washamba tusingekuwa tunatoa vipaji Bora vya mpira na Sanaa. Jifunze heshima au tukuadabishe kama mama yako hakukulea vizuri.
 
Back
Top Bottom