Tukio la kusisimua la Donald Trump ndani ya mieleka ya WWE

Tukio la kusisimua la Donald Trump ndani ya mieleka ya WWE

Mechi ilikuwa nzuri... WWE ya sikuizi imepungua mvuto, vimbwanga hakuna. Huyo winner wa Trump, Bob Lashley kahamia TNA huko nako kafulia bora arudi WWE. RIP Umaga
Mkuu ukishindwa TNA then inabidi ustaafu tuu hakuna namna maana WWE ndio power house kwenye wrestling business from WWE to TNA Yaani hapo kama kashuka daraja vile
 
Mmeshaanza kuokoteza story, ila kama ni kweli wamarekani na ujuaji wao wameingia chaka.
 
Back
Top Bottom