Tukio la kusisimua la Donald Trump ndani ya mieleka ya WWE

Tukio la kusisimua la Donald Trump ndani ya mieleka ya WWE

Dah naikumbuka sana hiyo mechi. Kipindi hicho hata sifahamu kwamba huyo jamaa ndiye trump. Ila kipenzi changu kikubwa ni man from death valley "the undertaker". Mechi yake ya wrestlemania dhidi ya shawn michael ndiyo bora zaidi kwangu.
 
Ili pambano Trump alimvamia boss wa WWE na kumpiga. Refa wa ilo pambano ndiye aliyechangia Umaga kushindwa, Trump ndo kaibuka mshindi . Umaga miongoni mwa wababe kipindi iko Umaga vs John cena fantastic game. Umaga R. I. P
 
Mie nilikuwa Team UnderTaker jamaa alikuwa ananifurahisha anakuja na jeneza ulingoni mara taa izime aisee alinikosha sana


Mkuu Undertaker na Steve austine/Stone Cold..hawa jamaa nilikua nawapenda sana,walinifanya nifatilie all times! Kwa sasa sio mfuatiliaji sana...
 
Aaaah Umaga....pambano lilikuwa kali wakikutana na Batista....ila aliishawahi nyongwa na mfukua makaburi hadi damu achana na Undertaker wewe..
 
Back
Top Bottom