Tukio la kusisimua la Donald Trump ndani ya mieleka ya WWE

Tukio la kusisimua la Donald Trump ndani ya mieleka ya WWE

Naomba mnifahamishe hizo ngumi/mieleka ya akina Umaga, Roman Reins n.k mnaipata Kwa kutumia vifurushi gani? Je ni star times ? Au Azam au DSTV ?
Mkuu nunua Azam,lipia kifulushi cha 23000/_,cheki mieleka kila jumapili,jumatatu,jumanne saa tatu kamili usiku channel MBC ACTION,au jumapili SAA tatu asbh,au SAA Tisa mchana channel MBC POWER PLUS.
 
Mkuu nunua Azam,lipia kifulushi cha 23000/_,cheki mieleka kila jumapili,jumatatu,jumanne saa tatu kamili usiku channel MBC ACTION,au jumapili SAA tatu asbh,au SAA Tisa mchana channel MBC POWER PLUS.
hyo channel haipo kwenye MOBDRO au ntawezaje kucheck kwa simu?
 
Naomba mnifahamishe hizo ngumi/mieleka ya akina Umaga, Roman Reins n.k mnaipata Kwa kutumia vifurushi gani? Je ni star times ? Au Azam au DSTV ?
Mm huwa naangalia kwa kupitia youtube... Ila chanel ya e.tv huwa inaonesha kila siku kuanzia saa nane na nusu mchana..

Hiyo chanel ipo kwenye kingamuzi cha startimes na hata dstv ipo, ila kwa huo mda sijui kama utakuwa unapata nafasi maana huo ndio mda wa kutafuta mkate.
 
Trump hana historia ya kuashindwa
 
Najua ni wachache wanaokumbuka tukio hili

Hili ni tukio la kuvutia na la kusisimua ndani ya mieleka ya WWE lililopewa jina la "THE BATTLE OF THE BILLIONAIRE`S"

Ulikuwa ni mpambano mkali kati ya Mabwenyenye(Matajiri) Donald Trump na Mmiliki wa WWE Vince Mackmahon

Katika tukio hili Matajiri hawa walisaini mkataba ambao kila mtu atakuwa na mpiganaji wake ambao watapambanishwa usiku wa "Monday night raw"
Mackmahon alimsajili "UMAGA " kama mpiganaji wake ambaye kwa sasa ni marehemu
View attachment 431936

Na Tajiri Trump alimsajili Bob Rashley kama mpiganaji wake
View attachment 431933

Katika mkataba huo, waliwekeana kuwa katika mpambano wa umaga na Bobrashley,,,Atakayepigwa ni lazima bosi wake anyolewe nywele zote abakie na upara

~kama angepigwa Bobrashkey Donald Trump angenyolewa upara
~Angepigwa Umaga Vince mackmahon angenyolewa upara

Siku ya pambano Refa alikuwa ni Steve Austin
Angalia video hapa

View attachment 431932

Ha haaaa
 
Back
Top Bottom