kenshi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,976
- 1,968
Huyu jamaa haamini kwenye kushindwa.Teh teh teh.... huyu jamaa ni kichaa, halafu inaonyesha hana kawaida ya kushindwa.
anasema 'ours was not campaign but rather an incredible and great movement'.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa haamini kwenye kushindwa.Teh teh teh.... huyu jamaa ni kichaa, halafu inaonyesha hana kawaida ya kushindwa.
Mambo ya siasa mkuu. Mi naona jamaa yupo poa tu. Sema kwa trouble maker ndio wanao muogopaMnasema hapendi watu weusi mbona alimtumia huyo mweusi?
Haha huyu trump watamkoma hhhhhVince alipigwa upara wa hatari, ilikuwa ni fedheha kubwa kwake. Maana wote wanapenda nywele zao sasa Mackmohan Vince akakumbana na mashine ya Trump.
Kabla ya hapo zilikuwa tambo za nani ana hela. Donald akamwambia Vince, yeye ana hela na alimwaga millions of dollars watu wakaokota.
Na alitamba anaweza kuongeza pesa zake mara mbili zaidi akitaka kufanya hivyo
Najua ni wachache wanaokumbuka tukio hili
Hili ni tukio la kuvutia na la kusisimua ndani ya mieleka ya WWE lililopewa jina la "THE BATTLE OF THE BILLIONAIRE`S"
Ulikuwa ni mpambano mkali kati ya Mabwenyenye(Matajiri) Donald Trump na Mmiliki wa WWE Vince Mackmahon
Katika tukio hili Matajiri hawa walisaini mkataba ambao kila mtu atakuwa na mpiganaji wake ambao watapambanishwa usiku wa "Monday night raw"
Mackmahon alimsajili "UMAGA " kama mpiganaji wake ambaye kwa sasa ni marehemu
View attachment 431936
Na Tajiri Trump alimsajili Bob Rashley kama mpiganaji wake
View attachment 431933
Katika mkataba huo, waliwekeana kuwa katika mpambano wa umaga na Bobrashley,,,Atakayepigwa ni lazima bosi wake anyolewe nywele zote abakie na upara
~kama angepigwa Bobrashkey Donald Trump angenyolewa upara
~Angepigwa Umaga Vince mackmahon angenyolewa upara
Siku ya pambano Refa alikuwa ni Steve Austin
Angalia video hapa
View attachment 431932
Huyo refa wa mpambano alikuwa ni mbabe hatarii
Refa alimbeba [emoji23]Trump hakutakiwa kushinda hili pambano kwa jinsi Mimi nilivyo elewa video
Hahaha soon ataiweka nchi(USA) yake as betting propertyHuyu Jamaa sijui usa itakuwaje maana akawii kucheza kamari
Wewe kweli shabili wa wrestling big up.Mechi ilikuwa nzuri... WWE ya sikuizi imepungua mvuto, vimbwanga hakuna. Huyo winner wa Trump, Bob Lashley kahamia TNA huko nako kafulia bora arudi WWE. RIP Umaga