Tukio la kusisimua la Donald Trump ndani ya mieleka ya WWE

Teh teh teh.... huyu jamaa ni kichaa, halafu inaonyesha hana kawaida ya kushindwa.
Huyu jamaa haamini kwenye kushindwa.
anasema 'ours was not campaign but rather an incredible and great movement'.
 
Huyu jamaa haamini kwenye kushindwa.
Hata kwenye campaign alikuwa anasema 'that was not campaign but rather an incredible and great movement'
Ni kweli mkuu
 
Vince alipigwa upara wa hatari, ilikuwa ni fedheha kubwa kwake. Maana wote wanapenda nywele zao sasa Mackmohan Vince akakumbana na mashine ya Trump.

Kabla ya hapo zilikuwa tambo za nani ana hela. Donald akamwambia Vince, yeye ana hela na alimwaga millions of dollars watu wakaokota.

Na alitamba anaweza kuongeza pesa zake mara mbili zaidi akitaka kufanya hivyo
 
Haha huyu trump watamkoma hhhhh
 
Naomba mnifahamishe hizo ngumi/mieleka ya akina Umaga, Roman Reins n.k mnaipata Kwa kutumia vifurushi gani? Je ni star times ? Au Azam au DSTV ?
 

Umenikumbusha mbali mkuu, huo mpambano nliucheki vzr dah htr sana........
 
Naomba mnifahamishe hizo ngumi/mieleka ya akina Umaga, Roman Reins n.k mnaipata Kwa kutumia vifurushi gani? Je ni star times ? Au Azam au DSTV ?
Dstv huwa wanaonyesha na startimes katika chanel e napo huwa wanaonyesha
 
Trump hakutakiwa kushinda hili pambano kwa jinsi Mimi nilivyo elewa video
 
Hili lijamaa lilitamka maneno fuln kuwa "i have never failed anything in my life" nikadhan anaongea tu kumbe anamaanisha
 
Mechi ilikuwa nzuri... WWE ya sikuizi imepungua mvuto, vimbwanga hakuna. Huyo winner wa Trump, Bob Lashley kahamia TNA huko nako kafulia bora arudi WWE. RIP Umaga
Wewe kweli shabili wa wrestling big up.

RIP Umaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…