Tukio la kusisimua la Donald Trump ndani ya mieleka ya WWE

Naomba mnifahamishe hizo ngumi/mieleka ya akina Umaga, Roman Reins n.k mnaipata Kwa kutumia vifurushi gani? Je ni star times ? Au Azam au DSTV ?
Mkuu nunua Azam,lipia kifulushi cha 23000/_,cheki mieleka kila jumapili,jumatatu,jumanne saa tatu kamili usiku channel MBC ACTION,au jumapili SAA tatu asbh,au SAA Tisa mchana channel MBC POWER PLUS.
 
Mkuu nunua Azam,lipia kifulushi cha 23000/_,cheki mieleka kila jumapili,jumatatu,jumanne saa tatu kamili usiku channel MBC ACTION,au jumapili SAA tatu asbh,au SAA Tisa mchana channel MBC POWER PLUS.
hyo channel haipo kwenye MOBDRO au ntawezaje kucheck kwa simu?
 
Naomba mnifahamishe hizo ngumi/mieleka ya akina Umaga, Roman Reins n.k mnaipata Kwa kutumia vifurushi gani? Je ni star times ? Au Azam au DSTV ?
Mm huwa naangalia kwa kupitia youtube... Ila chanel ya e.tv huwa inaonesha kila siku kuanzia saa nane na nusu mchana..

Hiyo chanel ipo kwenye kingamuzi cha startimes na hata dstv ipo, ila kwa huo mda sijui kama utakuwa unapata nafasi maana huo ndio mda wa kutafuta mkate.
 
Trump hana historia ya kuashindwa
 
Ha haaaa
 
Nimependa huyu mbabe anavyojiamini mpaka amemnyoa mc mahon nywele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…