Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

nimejistaafisha kwa lazima aisee.....naona nipumzike nifanye mambo mengine vinginevyo kazi itakuwa kuzunguka maporini tu na kuhatarisha uhai......huko tabora kupishana na koboko na usiku kuskia muungurumo wa simba dah hatariii...
Aha ha ha hahaha.! dah karibu mkuu tumechoronga mwamba baruti ndo tumefunga tayari kwa kulipua..
 
Dah kumbe ilibidi hadi vichomwe moto? Inaonekana mambo yalikuwa mazito sana
Ila sijawahi kusikia hela zinachomwa moto nahisi huyo shehe alikula tu[emoji2]
Haha kwa kipindi kile niliamini 100% atachoma ila kwasasa nawezasema sijui Kama aliichoma yule😂😂
 
Naendelea na sakasaka la Pete ya dhahabu na kidani chekundu (kwa maelezo ya Kitoabu ni Ruby) Baada ya kushtuka usiku nilihisi baridi sana likitambaa kwenye mwili, kuangalia chini alipolala baba hayupo. Hofu iliongezeka ndani yangu nikifikiria yule mzee anaweza akaja tena na tuliyokuwa tunamtegemea ni baba kuwepo pale. Nikamuamsha mdogo wangu ili kujipa moyo wa uwepo wa pamoja katika hali niliyoihisi. Nikawa nasikia sauti mtu akilia na kusema "siondoki mpaka mnipe (Kuna neno lilitajwa ambalo sikulijua) vinginevyo nitaendelea kuwafuatilia mpaka wanirudishe kwa (akataja jina jingine la kike, nadhani ni jina la yule mwanamke aliyedondosha Pete). Nikamuuliza dogo unamsikia huyo mtu anayelia? Sauti inatokea wapi? Hakuna aliyekuwa na jibu kwasababu sauti ilikuwa inajaa madikioni mwangu bila kudhihirisha sehemu inayotokea, yaani ni Kama vile nimevaa earphone alafu mtu aongee.
Yule shekhe Kuna maneno alituambia kuwa tukiona Hali ambayo hatuielewi tuyatamke hayo maneno. Nayakumbuka lakini hapa sitayataja. Basi nikaanza kuyatamka yake maneno huku nikitetemeka mdogo wangu akilia kwa kwikwi. Bila kujielewa tulipitiwa na usingizi na kushtuka asubuhi kumeshakucha. Ile Hali haikujirudia kwa muda wa siku tano yaani it was like nothing happened before. Sasa nilikuwa nimesharudi kwenye hali ya kawaida na chuo nilikuwa nikienda na kufurahi na washkaji kama kawaida bila kuwaambia kwanini siku tatu sikuwepo mazingira ya chuo. Ile siku ya sita nilisahau kuoga Ile dawa kuanzia asubuhi mpaka jioni, kilichokuja kutokea usiku wakati natoka seminar room kujisomea haaa.......
 
Mkuu unachelewa sana kuleta mrejesho mpaka story zinapandiana thats too bad
 
Hili jina linanikumbusha mzungu mmoja mtaliano alikua anafanya kazi MESSINA LINES alikua anapenda kusema 'fankuro'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…