Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

Mmmmh hii dunia ina mambo magumu aisee, me naona bora kutoyaona haya mamboo sababu unaweza kuwa kichaa kwa kupiga kelele.
 
Kumbe hii inaendelea Mkuu..haya tunasubiri sehemu ya tatu.
 
Ok afadhali kama yameisha, Mungu azidi kuwapigania.
 
Ok asante mkuu, vipi kuna njia yoyote ya kawaida ya kujua kama huyu niliyekutana nae (either mbwa, paka au binadamu) kua ni jini?
mbwa mweusi tiiiiiii au paka mweusi tiiiiiii! halafu unakutana nae mazingira hatarishi by the way sio rahisi sana kugundua au nyoka akiingia ndani ndio maana kuna utaratibu wa kusema nae ujue ni nyoka au laa....umewahi kuskia mtu amemkuta nyoka ndani akamwambia naomba utoke akashangaa anatoka zake.....huyo sio nyoka bali ni jini...
nyoka wa kawaida hatoskia bali atataka kujihami..
na zaidi mkuu kwenye maisha tusitumie mifupa na vinyesi vya wanyama kujisafisha baada ya kujisaidia {kesi za porini n.k} kwani hivyo ni vyakula vya majini..
shukran..
 
[emoji2] Sasa scenario kama hiyo wewe utafanyaje?

Au ndo ile bora mtu uachie hata shuzi moja zito linaweza likamlewesha akafutika arudi alikotoka
mi binafsi sio muoga na nimekutana na mengi mazito....niliwahi pata pia mtihani wa kupendwa na jini wa kike though mimi hakufanya la maana sababu nafanya ibada na niko karibu na anga za juu kuliko mambo ya kidunia..
 
Ok asante mkuu, vipi kuna njia yoyote ya kawaida ya kujua kama huyu niliyekutana nae (either mbwa, paka au binadamu) kua ni jini?
kwa kukazia mkuu jini hawezi kujibadilisha umbo la binadamu 100% lazma kuna kitu atakuwa hajakamilisha na nilipata kuskia hawawezi kudumu kwa muda mrefu kabla hawajarudi kwenye umbo la asili.....na kwa nilivyowastudy hawana guts za kuangaliana na mtu macho kwa macho kama ukimkazia! wana kama kaaibu fulani...
 
huyo hiyo sura ya kiarabu ni amejibadilisha tu sura yake ya asili huwezi kumuona.....hayo mambo yapo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…