fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,026
- 22,549
Umelima sana vijaruba vya mpunga eh?😆😆Mkuu nkionaga hilo jina Chita nakumbuka mbali sana. Sina uhakika kama kuna kambi ya jakata ina fatiki kama 837 KJ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umelima sana vijaruba vya mpunga eh?😆😆Mkuu nkionaga hilo jina Chita nakumbuka mbali sana. Sina uhakika kama kuna kambi ya jakata ina fatiki kama 837 KJ
Kuna mtu kaanzisha uzi..sema ametoa tamko kwamba sio yake ni yako..umeuona nadhani.Nilikuwa natumia simu. Itabidi nianzishe uzi wake hili jambo. Mwanzo nilijua nitaweza kuifupisha lakini kadri niendeleavyo nashindwa kuifupisha kama nilivyotaka
Story yako inaboa Bora ungeanzisha tu Uzi wakoBasi siku ya sita sikuoga ile dawa na nilishadharau, natoka seminar room (kwa mliosoma au mnaopafahamu Udsm ukishamaliza vimbweta vya hapa chini ya UDLS ili nivuke barabara kwenda hall 1) nikamuona yule mzee mbele yangu kama mita 30 hivi amesimama akiniangalia. Aisee nilitimuwa mbio kurudi SR nikawa napishana na wenzangu wanaorudi hostel, wengi waliniona kama nimechanganyikiwa, kufika SR niliyokuwa ninajisomea nikaingia na kujikausha huku nikitetwa. Rafiki zangu ambao niliwaacha wakanishangaa vipi mbona umerudi na ulisema hujisikii kusoma leo? Nikawaambia nawasubiri mmalize twende wote. Nikawa nasali kimoyo moyo na kunuia yale maneno aliyotuambiaga shekhe. Nilirudi SR kwasababu kuna room mate wangu wawili kwahiyo wakati wakutoka tutaongozana pamoja kwa moja mpaka room. Nikampigia simu mzee na kumweleza, pia nikampigia na shekhe. Shekhe akaniambia nisiogope kwasababu ameshadhibitiwa yule hawezi kunifanya chochote hata nikimwona tena niseme tu yale maneno na kesho niende kwake.
Nikampigia simu mdogo wangu kama kuna kitu kimemtokea, akanijibu hakuna chochote na anafurahia kesho yake anamalizia Ile dawa. Nikamwambia mi sijaoga Ile dawa na nimemuona yule mzee akiniangalia kwahiyo aombe ili lisije linamtokea huko nyumbani maana yeye ndiye aliileta Ile pete ingawa mawazo ya kuiuza nilitoa mimi.
Hivyo vitu vitatu hata ktk Maisha ya kawaida ukiachilia Mbali Machimboni.. havifai kbs.. hasahasa Pombe na wanawake..
Imeandikwa katika Biblia Kitabu cha Hosea 4:11 "Uzinzi na divai na divai mpya huondoa fahamu za wanadamu."Hivyo vitu vitatu hata ktk Maisha ya kawaida ukiachilia Mbali Machimboni.. havifai kbs.. hasahasa Pombe na wanawake.. Laana.
Jimena njoo huku maana na uhakika sahz utakuwa unapiga hatua za sebuleni chumbani....chumbani sebuleni kwa arostoNimeona wacha nimalizie hapahapa tu. So tutaendelea muda wa lunch hour
Nilikuwa sioni watu kwenye mitaa ya jf,Kumbe watu wameishia huku
hahahahahahahahaaa mkuu naona umekusudia kunivunja mbavu tena.....yan scene ya huyo kamanda kufunua kwenye neti eti aingie na yeye imenichekesha sana.....halafu nimevuta taswira jamaa alivyomdandia mdogo wake aisee...
Nitawatag wote waliopita kwenye huu uzi. Kuanzia leo naanza kujiandaa alafu nitautuma wote kwa pamoja bila like kipengele kinachochukiwa na wengi cha "ITAENDELEA"[emoji38][emoji38]
Nimeshauona, ye atakuwa anachukua huku na kupeleka kule. Leo usiku naahidi kumalizia sehemu yote iliyobakiKuna mtu kaanzisha uzi..sema ametoa tamko kwamba sio yake ni yako..umeuona nadhani.
UsijariNipo apa, dont forget me mkuu [emoji1318]
Nitamalizia baadae, kimebaki kisehemu kidogo tu. Sijaona kama hii stori Ina sifa ya kuwa uzi maana si ndefu. Ubize tu na shuguuri za ofisiStory yako inaboa Bora ungeanzisha tu Uzi wako
Ilikuaje hiyo mkuu?!??Hii ya mwaka Jana Njombe pia imezimisha ndoto za utajiri na kuishi kikawaida was jamaa wengi sana. Kuna jamaa yangu wa Makambako ameishia kukaa rumande hadi leo na alikuwa na maisha safi tu.
Mkuu naomba nikuulize hivi huyo jini alikuaje?, alikua anatisha au alikua na umbo la kibinadamu (usoni)? najua umesema ulikua unamuona mzee means alikua binadamu ila usoni vipi yani alikuaje,Nitamalizia baadae, kimebaki kisehemu kidogo tu. Sijaona kama hii stori Ina sifa ya kuwa uzi maana si ndefu. Ubize tu na shuguuri za ofisi
Mimi huanzia mwanzo..nakimbizana na uzi hadi niukute ulipo..naogopa sana kuuliza maswali ambayo hayana kichwa wala miguu.Ndio maana mimi husoma comments zote
Huwezi kuja na maswali ya namna hii
mkuu hii story yako ni comedy tosha..Basi siku ya sita sikuoga ile dawa na nilishadharau, natoka seminar room (kwa mliosoma au mnaopafahamu Udsm ukishamaliza vimbweta vya hapa chini ya UDLS ili nivuke barabara kwenda hall 1) nikamuona yule mzee mbele yangu kama mita 30 hivi amesimama akiniangalia. Aisee nilitimuwa mbio kurudi SR nikawa napishana na wenzangu wanaorudi hostel, wengi waliniona kama nimechanganyikiwa, kufika SR niliyokuwa ninajisomea nikaingia na kujikausha huku nikitetwa. Rafiki zangu ambao niliwaacha wakanishangaa vipi mbona umerudi na ulisema hujisikii kusoma leo? Nikawaambia nawasubiri mmalize twende wote. Nikawa nasali kimoyo moyo na kunuia yale maneno aliyotuambiaga shekhe. Nilirudi SR kwasababu kuna room mate wangu wawili kwahiyo wakati wakutoka tutaongozana pamoja kwa moja mpaka room. Nikampigia simu mzee na kumweleza, pia nikampigia na shekhe. Shekhe akaniambia nisiogope kwasababu ameshadhibitiwa yule hawezi kunifanya chochote hata nikimwona tena niseme tu yale maneno na kesho niende kwake.
Nikampigia simu mdogo wangu kama kuna kitu kimemtokea, akanijibu hakuna chochote na anafurahia kesho yake anamalizia Ile dawa. Nikamwambia mi sijaoga Ile dawa na nimemuona yule mzee akiniangalia kwahiyo aombe ili lisije linamtokea huko nyumbani maana yeye ndiye aliileta Ile pete ingawa mawazo ya kuiuza nilitoa mimi.
Jimena
majini wana uwezo wa kujibadili sura kuwa nyoka, binadamu, paka, mbwa mweusi n.k lakini kwa umbo lake humuoni kamwe..Mkuu naomba nikuulize hivi huyo jini alikuaje?, alikua anatisha au alikua na umbo la kibinadamu (usoni)? najua umesema ulikua unamuona mzee means alikua binadamu ila usoni vipi yani alikuaje,
Mie pia nilicheka sana.... pale aliposema izo kelele walopiga hazikuwa na mfano.Mie kwenye matukio ya hatari hata sauti huwa siipati, hapo sanasana ningejiziba uso tu nikasubiri khatma [emoji1787]