Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmmh hii dunia ina mambo magumu aisee, me naona bora kutoyaona haya mamboo sababu unaweza kuwa kichaa kwa kupiga kelele.Ahsante mkuu, tulishahama ile nyumba.... ule mtaa ulikuwa hauishi vibweka..... watu wenye vichwa vizito wanoona mambo walikuwa hawaishi kuchagawa hata mchana utaskia kelele watu washachagawa wanasema kuna wanga...... mtt yuko poa now ana kama miaka 7 ivi..... na yupo vizuri tu anasoma na muelewa Alhamdulilah. Kuna dada mmoja wa kazi huyo nikikaa nae muda mrefu almost miaka mitano na yeye pia alikuwa anaonaona haya mambo.... kuna siku mida kama 6 usiku ivi mie nishalala nimeshtushwa na kelele kubwa sana.... yule dada analia mie kujua labda kimetokea msiba kapigiwa simu kumbe mume wangu alikuwa na yeye keshashtuka ndio anamtuliza kapandisha majini.....anasema mtt yupo kitandani tunamuona tu pale lkn kiuhalisia kuna watu wamemchkua wapo nae nje kwenye mti pana mti wa bilimbi nje.... bwana weeeee mwili wote ulifanya kama umepatwa na baridi kali.... ikabidi hapo kumsemesha mpk akatulia..... anasema ule mtaa mbaya tena watu majirani tu wana kazi ya kuwachezea wtt kimazingara. Yaani acha tu
Kumbe hii inaendelea Mkuu..haya tunasubiri sehemu ya tatu.Ahsante mkuu, tulishahama ile nyumba.... ule mtaa ulikuwa hauishi vibweka..... watu wenye vichwa vizito wanoona mambo walikuwa hawaishi kuchagawa hata mchana utaskia kelele watu washachagawa wanasema kuna wanga...... mtt yuko poa now ana kama miaka 7 ivi..... na yupo vizuri tu anasoma na muelewa Alhamdulilah. Kuna dada mmoja wa kazi huyo nikikaa nae muda mrefu almost miaka mitano na yeye pia alikuwa anaonaona haya mambo.... kuna siku mida kama 6 usiku ivi mie nishalala nimeshtushwa na kelele kubwa sana.... yule dada analia mie kujua labda kimetokea msiba kapigiwa simu kumbe mume wangu alikuwa na yeye keshashtuka ndio anamtuliza kapandisha majini.....anasema mtt yupo kitandani tunamuona tu pale lkn kiuhalisia kuna watu wamemchkua wapo nae nje kwenye mti pana mti wa bilimbi nje.... bwana weeeee mwili wote ulifanya kama umepatwa na baridi kali.... ikabidi hapo kumsemesha mpk akatulia..... anasema ule mtaa mbaya tena watu majirani tu wana kazi ya kuwachezea wtt kimazingara. Yaani acha tu
Pole Sana....usichoke....vizuri havihitaji pupaInachosha sasa haapo sijui nianzie comments ipi
hahahaha thubutu yako.....usubiri hatma na unamuona mzee anapangusa miguu anapanda kitandani acha utani wewe...
Aisee..uzi juu ya uzi..sema huu wako umeisha mapema..wenzio wanaanzisha uzi halafu wanaenda kuoga...natania tu.
Kumbe hii inaendelea Mkuu..haya tunasubiri sehemu ya tatu.
Ok afadhali kama yameisha, Mungu azidi kuwapigania.Ahsante mkuu, tulishahama ile nyumba.... ule mtaa ulikuwa hauishi vibweka..... watu wenye vichwa vizito wanoona mambo walikuwa hawaishi kuchagawa hata mchana utaskia kelele watu washachagawa wanasema kuna wanga...... mtt yuko poa now ana kama miaka 7 ivi..... na yupo vizuri tu anasoma na muelewa Alhamdulilah. Kuna dada mmoja wa kazi huyo nikikaa nae muda mrefu almost miaka mitano na yeye pia alikuwa anaonaona haya mambo.... kuna siku mida kama 6 usiku ivi mie nishalala nimeshtushwa na kelele kubwa sana.... yule dada analia mie kujua labda kimetokea msiba kapigiwa simu kumbe mume wangu alikuwa na yeye keshashtuka ndio anamtuliza kapandisha majini.....anasema mtt yupo kitandani tunamuona tu pale lkn kiuhalisia kuna watu wamemchkua wapo nae nje kwenye mti pana mti wa bilimbi nje.... bwana weeeee mwili wote ulifanya kama umepatwa na baridi kali.... ikabidi hapo kumsemesha mpk akatulia..... anasema ule mtaa mbaya tena watu majirani tu wana kazi ya kuwachezea wtt kimazingara. Yaani acha tu
Hebu nihadithie hii😀😀
mbwa mweusi tiiiiiii au paka mweusi tiiiiiii! halafu unakutana nae mazingira hatarishi by the way sio rahisi sana kugundua au nyoka akiingia ndani ndio maana kuna utaratibu wa kusema nae ujue ni nyoka au laa....umewahi kuskia mtu amemkuta nyoka ndani akamwambia naomba utoke akashangaa anatoka zake.....huyo sio nyoka bali ni jini...Ok asante mkuu, vipi kuna njia yoyote ya kawaida ya kujua kama huyu niliyekutana nae (either mbwa, paka au binadamu) kua ni jini?
mi binafsi sio muoga na nimekutana na mengi mazito....niliwahi pata pia mtihani wa kupendwa na jini wa kike though mimi hakufanya la maana sababu nafanya ibada na niko karibu na anga za juu kuliko mambo ya kidunia..[emoji2] Sasa scenario kama hiyo wewe utafanyaje?
Au ndo ile bora mtu uachie hata shuzi moja zito linaweza likamlewesha akafutika arudi alikotoka
Ila usiombe yakutokee hayo mkuu.
hao wakikugundua ni muoga hakuna rangi wataacha kukuonesha....na watajidhihirisha kila saa...Sasa katika mazingira kama hayo unakimbilia wapi kwa mfano!!? Si bora tu usali uombe usubiri khatma [emoji23]
Ok afadhali kama yameisha, Mungu azidi kuwapigania.
kwa kukazia mkuu jini hawezi kujibadilisha umbo la binadamu 100% lazma kuna kitu atakuwa hajakamilisha na nilipata kuskia hawawezi kudumu kwa muda mrefu kabla hawajarudi kwenye umbo la asili.....na kwa nilivyowastudy hawana guts za kuangaliana na mtu macho kwa macho kama ukimkazia! wana kama kaaibu fulani...Ok asante mkuu, vipi kuna njia yoyote ya kawaida ya kujua kama huyu niliyekutana nae (either mbwa, paka au binadamu) kua ni jini?
huyo hiyo sura ya kiarabu ni amejibadilisha tu sura yake ya asili huwezi kumuona.....hayo mambo yapo..Acha kabisa.... Mie niliwahi kutokewa na mauzauza nyumba nilokuwa nakaa mwanzo, usiku nimelala na mtt wangu age kama one year ivi ghafla nikashtuka nimesimamiwa na dada wa kiarabu (namuona mpk leo alivokuwa katusimamia na alivovaa) sema kama kulikuwa na kagiza kdg.... baba wtt kalala chini (si unajua tena mkiwa na wtt wadogo kulala pamoja sio issue) basi nilivoshtuka yule dada akapotea, nikajiuliza mmmh ni ndoto au, jamaa yangu kalala wa juzi habari hana. Nikasema mmh wacha tu niendelee kulala labda waswas tu mana mie nna kaujasiri kdg.. Ile kufumba tu tena macho nikaanza tena kama kuweweseka nashtuka ghafla namuona tena yule dada this time keshainama tayari na mtoto kambeba yaani ile beba ya mikono miwili kwa mbele, niliinuka ghafla akapotea na kila kitu kikarudi kama kilivyo aaah hapo ikabidi nimuamshe mwenzangu kimwambia huku nalia.... yaani ilikuwa kama ndoto lkn ni uhalisia mana kila kitu nilivokionakilikuwa kama kilivyo chumbani na mtt nguo zake za pajamas ni zilezile.... hapo hatukulala tena. Yaani mpk tunahama kile chumba changu mwenyewe nilikua nakiogopa hata mchana mpk nipelekwe mara moja moja ndio najikaza. na huyu mtt ikabidi kumfanyia dawa... tuliambiwa ni kama vile yule jini alimpenda... sasa sijui hata alikuwa anataka kumpeleka wapi