Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

Mkuu ni kweli ukienda sehemu yenye mkusanyiko mkubwa wa watu eg. Sokoni ukainama chini na kuchungulia kupitia miguu yako unaweza kuwaona majini?
hapana kabisa! huwezi kuwaona , majini hawaonekani kwa macho ya kawaida....na ukimuona kwa umbo la mtu wa kutisha au mnyama wa kutisha au mtu ana kwato na mambo kama hayo ujue ameamua umuone....ila sura yake original ni mission impossible....unless kwa namna za kishirikina nisizozijua kabisa..
 
Nimekuwa nafuatilia sana kila unachopost, kiufupi huu uzi umenisisimua na kunifunza mengi sana japo mie sio mtu wa kukoment sana. Mkuu ukifungua uzi wako naomba usiache kunitag.
 
hivi ukiwa na camera drone haiwezekani kuitanguliza huko kuona vitu vilivyopo?
 
Umeelezea vizuri sana Shekh na wengi tumejifunza shukrani kwa kutokua mchoyo wa ulicho nacho, hawa viumbe pia nimepata kuwafahamu kiasi ni tofauti na kukalili maana kama ilivyo ngumu kuwajua binadamu wote ndivyo ilivyo kwao [emoji1][emoji1][emoji1] wana mambo yanafurahisha na kuudhi pia kuogopesha nk ila kwa mtu kamili hawana lolote la kusumbua labda waje kwako kwa njia ya mtu mwingine (wengi wanaita kupandisha walimu,maruhani,mashetani,majini) ndio wazungumze nawe huna tofauti sana na mimi japo mimi sikupendwa kimapenzi.
 
Hahahaa usijali mkuu....nashukuru kwa kukazia na kuongezea tuminofu minofu{kwa lafudhi ya kanda ya ziwa}...
na pole kwa majanga yameisha lakini?!...
 
Mkuu umeanza kuharibu uzi, nakushauri ukae kimya kidogo.
 
Nimeanza kukufatilia tangu unaanza kujibu swali la kwanza kwa jamaa huyo anayekuuliza maswali, ubarikiwe sana, kuna elimu nimeipata hapa aisee, nilichopenda huchoki kujibu, aisee Mungu akuzidishie kwa kila lenye heri utalofanya, ahsante sana
 
hakuna neno mkuu mimi sina tabu nitajaribu kutenga muda niandike mada ndefu lakini isiyochosha kisha ntapost nadhani jukwaa la intelligence....
shukran sana pia..
Naomba utakapoanzisha hio thread uni tag pia mkuu hope hutosahau ID yangu.

Nadhani maswali mengi takuuliza huko, maana kila nikiona maswali yameisha baadae nikiwa offline napata swali lingine tena [emoji28] anyway,, naomba usisahau kutufungulia hio thread pia thanks sana kwa muda wako.
 
Nashkuru mkuu,
Vipi kuhusu hili: niliskia kuna maneno (swala) ukitamka mara elfu moja kama sikosei unaweza kumuona jini
 
Wanajuaje kama unaishi nao
 
Mkuu tunaimba uhadisie mkasa hata mmoja, tupo tayari kukuchangia
 
Jamani nimeishia wanataka kuchoma maiti wakawa kama wamepagawa ameendelea page ipi na ipi maana duu page ya 59 nashindwa kuperuzi zote. Plz kwa atakayeweza nilistia
 
Nimewahi ona jini kariakoo aisee sura yake haielezeki wallah, nilichokosea nilikuwa na mtoto tulivokuwa tunajitahidi kumwona na tulivo shtuka akapotea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…