Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maisha laini kama mgodi unaproductionNdio maana maisha unayaona laini kama chapati za Azam.
Pamoja mkuu.
Napenda sana niandike mara moja tu na story iwe ime kwisha, tatizo raia huwa hazichelewi kunitembelea, hivyo najikuta nakatisha story namalizana nao kwanza.
Upo mgodi wa Laizer nini mkuu? Nifanyie mchakato basi.Machimbo ya mbali hata yatoe jiwe la thamani sikanyagi,mererani kunanitosha sana maisha lainiii maini yanasubiri
😀nimekaa najua nimepata cha kupotezea muda,kumbe unanletea pigo zako za kinaniiiii wawapi wewe aseeee
Kwani dragon ni pombe mkuu?au hujui chochote?jamaa kanifurahisha pale walipoingia dukani wakamukuta jamaa kafa na dhahabu aliyoificha ktk kifungashio cha shingoni
wakamalizia kusomba Dragon wakati pombe ni haramu huko matandani