Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

Wakati wa kutafuta tiba nilishawafikia mashekh kadhaa na wachungaji tofauti na sisi christian mashekh walinieleza kuwa hawa ni wema zaidi ya wawili,sikusumbuka nao lakini pia kwa imani yangu Shekh kabla ya hawa sidhuriki na nguvu yoyote tofauti na Mungu mwenyewe baada ya mikasa kadhaa mizito ambayo watu walijua pengine ningekua mfu lakini nadunda uzuri namuomba sana Mungu kama ni wabaya katika maisha yangu hakika ningeshapata sign au nitapata kabla ya wakati kupita kuwa na imani jambo kubwa na hazina kubwa tuliojaaliwa na utambuzi nimekua nikitambua jambo baya na zuri kabla katika maisha yangu namtanguliza Mungu kila siku.
 
Mkuu nakuelewa ni kitu kimekuathiri maisha yako lazima kimekuachia alama lakini hata hao mashaykh nahisi ni walewale..

Huwezi muita mwema mtu anaishi kwenye mwili wa binadamu unajua ni mateso makubwa sana mkuu?!.....jaribu jambo moja umesema una kauli juu yao.

Waambie hivi rafiki zangu nafikiri ni muda sasa tumekuwa pamoja ninachoona kwa sasa mtuache mrudi nyumbani na sisi tuendelee na maisha yetu utaona reaction ipi itatoka kwao kisha utanipa mrejesho mkuu.

Na nimesahau kuuliza mmejaaliwa watoto wangapi kwa shemeji...
 
Aisee kumbe maana sura yake na hiyo pua hamna kiumbe mwenye hyo sura hapa duniani ni ngumu kuelezea kosa nililofanya nikushtuka na yeye akapotea wallah, hii dunia tunajua vitu vichache sana
 
Nilishawahi fanya hawakuwahi kurudi hadi nilipowahitaji mwenyewe,na mke wangu hajui kuhusu hawa na mara chache mwanzo wakati wanadondoka waliniomba nisiwe nawaita sababu mke wangu anaumia, baada ndio wakapata njia asihisi chochote au maumivu yoyote mara nyingi huwa wanaweza zungumza bila kuwa ndani yake kuja kwao hadi niite kuhitaji ushauri au kujadili jambo tofauti na hapo hawawezi kuja hata nikikaa mwaka bila kuhitaji kuwasiliana nao maana mara nyingi huwa wapo bize na shughuli za himaya yao mara nyingi huwa wanavamiwa na wenzao kuuwawa na majini wabaya, pia huwa napenda kuwajaribu mara kadhaa kwenda nao kwenye nyumba za ibada za kilokole na za kwetu rc kupima lengo lao kuomba Mungu kunipa muongozo,sijawahi ona tofauti kwenye maombi au nikishiriki nao vitabu vitakatifu pia kama nilivyokwambia mimi ni mtu wa namna gani sijawahi kuacha kumshirikisha Mungu kunipa busara katika hili kama naenda kinyume nae katika miaka yote hii sizani kama ameniacha kunipa maono kama ilivyo katika shari na kheri anavyonipa,Pia walaji wa mbuzi katoliki [emoji3][emoji3] hawajawahi kusema haifai kwao au inawasumbua sana sana kuna mmoja wao nae anaipenda sana kuila mama watoto akiandaa
 
Mkuu hyo baada ya hedhi ni nyweupe au nyekundu??
 
Shetani hanaga rafiki mkuu.
 
Sawa mkuu kila la kheri..
 
Kiranga
Maoni yako!! Kama una swali pia!!
 
Hii sehemu ni kwa bibi yangu mzaa mama, panaitwa kisiba ni volcanic dam. Kabla hujafika kisiba kama kilomita moja kuna majengo ya zamani yalijengwa kwa mawe ambayo ilikua ngome ya wajerumani.

Hizo habari za kusema kuna mali chini kabisa kwenye maji hapo kisiba inasemekana ni kweli na inasemekana kuna wazungu walienda kuzichukua lakini walifia huko huko chini ya maji bila kutoka na chochote na ni Mara nyingi wazungu wamekua wakienda na kuweka kambi hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…