nicksonmoses
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 245
- 608
Sijajua kwa upande huo sijabahatika kuwajua jamii hizo, hata hawa huwa mara nyingi wanalalamika kuvamiwa na majini wa baya kwenye ngome yao na kutokea vita baina yao.Kwahiyo kama ni matunda na vyakula vya kawaida hawa wanaotakaga damu ni wale wabaya?
😂😂🤣Nairobi hawauzi Tecno moja moja. Zinapangwa kwa mafungu ya kuanzia tatu mpaka tano. Ukinunua fungu kubwa unaongezewa ka Tecno toch
Shukran pia mkuu..Asante Sana mkuu
Maneno mazuriiiiiiii..Ha hahahahaha ati ustaadh, hapana nimejifunza mwenyewe tu yangu mdogo na naendelea kuzifanyia kazi. Unajiskia raha na salama kama kila wakati mdomo wako utakuwa wenye kuleta dhikr na duaa..... Kila unachofanya tanguliza na duaa kutoka unapoamka mpk unapolala ivo ndivo tulivousiwa na Mtume wetu SAW. Dunia ina mengi hii tunoyaona na tusoyaona
[emoji23][emoji23][emoji23]. Sasa na kwenye Kula hapo maana yake mkeo ndio anakua anapakia misosi kumbe wanakula wao?Sauti tu, wa jinsia ke huwa anasema nikimuona katika umbo la binadamu ntaweza mtamani bora nisimuone [emoji1][emoji1] hapa panafikirisha
Sent from my Infinix X573S using JamiiForums mobile app
Mkuu vipi ukitaka kumuona je?shukran pia mkuu..
Hahaha sio kwa ubembelezaji huu..Pole sana!
Najua sio kumbukumbu nzuri, ila inakubidi uiongelee hiyo hali, ili ifike mahali uione kawaida, hata utakapomaliza kuisimulia kuna ahueni utaipata, na with time hiyo hali itakuwa normal tu wala haitakuwa ya kushtua tena
Hata dhahabu pia anza kuziona kawaida tu ili uondokane na ile hali ya ukiziona tu unaanza kukumbuka tukio zima,
Mi nna pete moja ya gold na naivaa sana ila sijawahi kuona mauza uza ya aina yoyote ile hivyo naomba uanze kuiona dhahabu kwa namna ya kawaida, pengine ingewezekana hata silver kuwa na mauza uza uliyopitia,
Nnachojaribu kusema hapa ni kuwa, tatizo sio dhahabu, tatizo sio pete, tatizo sio kito chekundu (ruby) tatizo lilikuwa kwa mmiliki wa hiyo pete, Nadhani yeye ndio alikuwa na mambo yake kuhusiana na hiyo pete,
My mom aliwahi kuibiwa hereni zake za dhahabu pale mkwajuni, tena alivuliwa mchana kweupe na hatujawahi kuziona zikirudi mpaka leo hii[emoji2][emoji2]
Sanasana ilimbidi tu yeye kununua hereni nyingine!!!
Nakusubiria uje kumalizia stori yetu ili nasi tujifunze zaidi (maji ukiyavulia nguo huna budi kuyaoga)
Wewe ni msimuliaji mzuri sana mwandiko umenyooka, tupe tu haki yetu
hapo sina ushauri mkuu.....sababu kinachovuka kuanzia hapo ndio ushirikina wenyewe..Mkuu vipi ukitaka kumuona je?
Huyu Mbwichichi na Fyddel kuna kitu wanatutafuta Haiwezekani kutoa story nusunusuWakuu mm sio mpenzi sana wa kucomment ila ni msomaji na mfuatiliaji mzuri sana na napenda life experience stories. Nawaomba Mbwichichi na fyddell mmalizie stori zenu watu tunaacha kufanya kazi kuangalia kama mshamalizia [emoji120][emoji120][emoji120]
Haahah anajali bwana atakuja kumalizia....au usishangae baada ya kumaliza kuweka kipande cha mwisho akajiwa na babu yake usiku akapewa mkwara sio wa nchi hii..Nampamper pamper kidogo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sema sasa fyddell mwenyewe hata hajali!!
Acha sasa mwishoe utaharibu kabisa! Anaweza kuogopa!!haahah anajali bwana atakuja kumalizia....au usishangae baada ya kumaliza kuweka kipande cha mwisho akajiwa na babu yake usiku akapewa mkwara sio wa nchi hii..
hahaah nmeacha JimenaAcha sasa mwishoe utaharibu kabisa! Anaweza kuogopa!!
Mara chache na hutoa kwanza taarifa kwangu kama siku hiyo atakula nasi chakula[emoji23][emoji23][emoji23]. Sasa na kwenye Kula hapo maana yake mkeo ndio anakua anapakia misosi kumbe wanakula wao?
Kweli sikujua Dragon sio Kilevi naomba nisaidie hapo walikunywa kitu gani?
Tukamvua nguo zote (kwa tahadhari ya hali ya juu) hapa tukamkuta na donge la dhahabu kwenye kipochi kidogo cha shingoni, ila marehem alikua kakivaa kiunoni.
Uwezi amini huyu marehem alikufa na biashara yake ikiwa imejaa.
Nakumbuka tulibeba Dragon baadhi ya kasha na kwenda kunywa mbele (hapa tuliapa hakuna mtu kugusa pombe )
cc Kitoabu
View attachment 1624286
Teh! Teh! Teh! Teh! Kuna kile kingine kisemacho…….. "Samahani, kuna jamaa nataka kupiga naye stori. Nitarudi baadaye"!!Nitawatag wote waliopita kwenye huu uzi. Kuanzia leo naanza kujiandaa alafu nitautuma wote kwa pamoja bila like kipengele kinachochukiwa na wengi cha "ITAENDELEA"[emoji38][emoji38]
Probably kuna mali mkuu, pia kuna sehemu panaitwa council (wenyeji wanapaita kansel) ipo kama kilomita 10 ukitoka tukuyu kwenda huko kisiba kuna jenga la wakoroni then kuna Locker kama la kuhifadhia documents lilijengewa ukutani watu wamejaribu kulivunja walifungue lakini hakuna alieweza had leo hii.Lazima pana mali. Nasikia wapo wazungu waliojaribu lakini walifanikiwa kuibua bunduki zikiwa bado mpya kwenye makaratasi. Pale pana mali. Ila nina wasiwasi wale wanaopiga kambi pale wanaweza wakawa wamekuja wamejidhatiti wametoa au ni chain ya waliohifadhi. Waliohifadhi hizi mali zote nasikia wanatunza kwenye vitabu jinsi ya kupafikia na namna unavyotakiwa kufanya ili kuzichukua salama
Ya zamani itakuwa haina shida.Kumbe divai mpya?
Kutumia misk sehemu za siri sio salama kiafya.picha ya nini miski ama?!....kama ndio ulichokusudia sio kila miski bali ukifika maduka ya dawa asilia sema nataka miski nyeupe....price inarange 1500-3000tzs na harufu yake ni disturbing kidogo ni nyeupe kama maji.....ila mafuta mazito kwa kukuwepesishia origin ya miski ni mafuta ya swala { gazelle } na miski nyeupe ndio dawa nyekundu ni manukato....ya chenga ni dawa ya upele na matatizo ya ngozi ikichanganywa na vitu fulani....so wewe kaulizie miski
nyeupe.....ukiachana na hayo hapo juu kama una mke akimaliza mzunguko wake wa mwezi awe anapaka ile siku aliyomaliza inaondoa harufu na athari yote ya MP..
shukran..