Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

Madhara huwa ni ya muda mrefu mkuu sio ya papo kwa papo.Kuweka misk,limao,asali coke n.k haifai kabisa according to wataalamu wa afya ambao nafikiri ni wabobezi kuliko karne zilizopita katika fani ya utabibu.Sio lazima tuafikiane thou.
Misk na hivyo ulivyolinganisha navyo ni vitu tofauti mno.
 
umeona ee....sasa muite huyo ugeuke mtumwa wa kumtimizia vile anavyotaka....hata pesa huwezi kufurahia masharti ya moto! huoni mtu ana hela ila anatembelea ndala zimechakaa balaa.....au chooni haruhusiwi kuingia na mguu fulani yan ilimradi majanga..

Mkuu Wengine wanalala chooni wmesimama co poa kisa haya mambo
 
Sidhani kama uko sahihi..hujafuatilia tu..Kitoabu alimaliza..Mbwichichi nadhani ni majukumu tu..kuwepo kwa uzi zingine sidhani kama tatizo kwani kumefanya wengine tujifunze vingi..yaani jiwe moja limeua ndege wengi..kwa wale wasio wavivu wa kusoma haina shida kabisa.
 
Kila nukta ya huu Uzi nimesoma na kwa jinsi store ya Kitoabu alivyokuwa anahadithia kuacha kipande Cha Uzi basi ujue kujibu na kusherehesha comments alikuwa analeta madini makali mno kuliko stori za maendeleo wa uzi
 
Mnaharibu uzi wa watu haipendezi kwa kweli...nendeni kwenye uzi wa mambo ya siasa huko.
 
[emoji23][emoji23][emoji23], nitanunua drone yenye uwezo mkubwa nairusha tu
hahahaah sasa drone yenyewe si ndo itasikia live unapaswa uende mwenyewe kwenye lile shimo uvae miwani ya jua ukipigwa ule mwanga mkali we uko safi tu ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…