Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

Sema mkuu wa kimwekumweku mi naona afadhali ungeandika kwanza ukimaliza ndio ujibu comment ili tuokoe muda
Stori yako inasisimua sema changamoto ni kwamba unaileta vipande vifupi fupi

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Nimekuelewa mkuu.

Tatizo maisha ninayo ishi ni mchaka mchaka kinoma.

Mfano jana usiku kucha tumekesha hospital, kuna Mtanzania mwenzetu (mtoto wa songea) kapigwa shoka na mrundi.

Hivi ninavyo andika, mtanzania mwenzetu ishakula kwake, akipona sijui!

Kitacho tokea hapa, ni mapambano ya Wabongo na warundi hapo baadae, maana Wabongo wameapa kutokukubali.

Kwahiyo Kiufupi muda wa kukaa na kuandika kwa utulivu nakua sina.

Cha muhimu tuvumiliane.
 
Duh poleni sana,alipigwa shoka kisa nini?

Mbona huko ugenini mnaishi maisha ya hatari sana.

Hivi kwa miaka yote mliyokaa huko kutafuta maisha bado hamjafanikiwa kuipata dhahabu muuze mpate pesa na kuja bongo kuwekeza biashara zenu mtulie?

Samahani lakini sijauliza kwa ubaya
 
Wakuu hii story nitaimalizia lkn nahisi sio leo.

Leo nitakua busy na swala la ajali ya mchimbaji mwenzetu kupigwa shoka na mrundi.

Chanzo cha ugonjwa wao, ni simu.

Jamaa yuko hospital ya Montepuez, hata hivyo kuna taratibu zinahitajika zifanyike mshikaji apelekwe hospital ya pemba.

Hali yake ni mbaya, sijui kama atatoboa.

Nikipata wasaa nitakua nawachungulia humu.
 

wewe ni mbabaishaji kama wengine tu.

Mods waitwe hapa waifutilie mbali story yako hii.
 
Machimboni Kuna kuaga na mademu wa kila aina ase alaf wanaliwa kwa bei che , ukitaka kuonja kila rangi kila shepu utaonja kwenye mabanda ya bati
 
nilichogundua jamaa ana i copy mahali ana paste huku kuna mahali itakua inasimuliwa so na yeye anapata kitonga hapo hapo all in all story nzuri
Anacho kisimulia jamaa ni story ya kweli kabisa mm nmeshatembea baadhi ya machimbo kule Kuna vitu vya kutsha sana, kule maiti zinapitwa kama kafa kuku tu hakuna anae jali ni unyama unyama kama hujapata nafas ya kuish mazingira ya migod ya dhahabu unaweza kudhani hizi ni strori za kusadikika , tembea uone hii dunia haipo Kama unavyoiona hii dunia ina visa zaidi ya movie unazo ziona
 
Pole sana mkuu, habari za migodini sitakuja kuzisahau, kule binadamu mnakuwa na tabia kama nyoka, yaani kumua au kumzulumu mwingine ni kama ndo style ya maisha
 
Haya machimbo ya kuibuka tu wanayaita RUSH..

Yani mzigo ukisoma ndani ya masaa mawili huezi amini kama lilikua pori utakuta Gest, baa, malaya washatimba, mama ntilie, soko, maduka na kila kitu....

Na ndani ya masaa kadhaa pia unaweza kupakuta peupe likiibuka chimbo jipya linalotema.... Watu wa GEITA wanayajua haya mazingira na rush ikidumu miaka minne vijiji vya pembeni kutakua nawatoto wengi balaaaaaa na hawana baba na hawa hua hawaendi shule....
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hata Mimi ninajiuliza swali hilo na amesema kwamba walipo rudi porini walikuwa wakizipekua maiti na kupata madonge ya dhahabu,Sasa hizo dhahabu hazikutosha kuwatajirisha?vinginevyo hii ni hadithi ya kutunga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…