Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

Ni mwendo wa ngono,pombe, sigara aisee balaaa sana huko siku tukiwa mbinguni harafu ukaskia shetani anasema waliokuwa wanaweka baa, gesti, biashara pembeni ya migodi ya rush tushuke chini tafadhali, watu watatafutana eeh😁😁
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Hata Mimi ninajiuliza swali hilo na amesema kwamba walipo rudi porini walikuwa wakizipekua maiti na kupata madonge ya dhahabu,Sasa hizo dhahabu hazikutosha kuwatajirisha?vinginevyo hii ni hadithi ya kutunga.
Mkuu, wachimbaji tuna matumizi mabaya sana ya pesa.
Ilo tu ndio tatizo letu.
Kuhusu hilo donge la dhahabu, ngoja nimalizie story kwanza, utajua ilikua grams ngapi? Niliuza bei gani? Hapo utapata jibu lako.
 
Dah mzee picha kali limejaa hudhuni mkubwa, poleni sana ndugu
 
Maisha ya uchimbaji madini ukishaingia kutoka ni ngumu mno,nina jamaa yangu aliwahi ishi Mererani 10yrs anasema walikuwa wanapata madini ya pesa nyingi lakini wakishauza wanakwenda kutumbua mpaka hela inaisha then wanaanza moja,alikaa huko mpaka akili ilipomrudia akaamua kuachana na hizo shughuli na pia alitoka akiwa amechoka vibaya kiuchumi...
 
Hata mimi pia kuna jamaa yangu alipoteza miaka 8 akarudi choka mbaya na amekuwa mlevi mbwa akili haijui maisha tena
 
Sasa likiibuka chimbo lingine pa awali pakibaki peupe zile mali zisizohamishika nini mustakabali wake
 
Sasa likiibuka chimbo lingine pa awali pakibaki peupe zile mali zisizohamishika nini mustakabali wak

Sasa likiibuka chimbo lingine pa awali pakibaki peupe zile mali zisizohamishika nini mustakabali wake
Mkuu achana na wachimbaji.... Waty wanasaka maisha brooii panabaki peupe utakuta nguzo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…